Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Write your reply...chuki ya israel na iran haiko kidini,kumbuka iran kuna wayahudi na wana masinagogi yao tofauti na nchi zingine za kiislamu,chuki yao ni kwasababu israel alikuwa karibu na shah,mfalme wa iran aliepinduliwa na mapinduzi ya iran na pia suala la palestina
 
Bro sizunguki,kuna wakati mwingine ukimpa muongozo mtu wa kuujua ukweli ndio jibu sahihi zaidi na ukimuelezea unakuwa unakosea japokuwa utampa jibu sahihi.

Yeye kama ameona Irani ni jamhuri ya kiislamu kwa mapokeo yake basi afatilie kwa kinyume chake,rahisi sana.
Ila bro nliomba angalau chanzo ninachoweza kupata hizo taarifa swali langu ukagoma. Ila vyanzo vyote ninavyovijua mimi vinaitaja Iran kama Jamhuri ya kiislamu. By the way najua pengine waweza kuwa unajua mengi kuhusu Iran na Uislam kwa ujumla, ila kama umekataa ku-share nasi pia uwe na amani
 
Afanye research kujitosheleza Kama Iran Ni taifa la kiislam ama la atumie njia gani Sasa, iwapo njia za kawaida (Google) na nyenginezo wanamwambia jamhuri ya kiislam, Ni muhimu ungemuelekeza njia hizo ulizotumia wewe,naye azifuate ili agundue Iran Ni taifa la washenz na si la kidini....Kama unavyotuaminisha....vinginevyo tutajua Ni porojo tu unaongea....
 
Write your reply...chuki ya israel na iran haiko kidini,kumbuka iran kuna wayahudi na wana masinagogi yao tofauti na nchi zingine za kiislamu,chuki yao ni kwasababu israel alikuwa karibu na shah,mfalme wa iran aliepinduliwa na mapinduzi ya iran na pia suala la palestina
Fafanua kidogo mkuu Elungata. Kwa nini wawe maadui kwa kuwa tu Israel alikuwa karibu na mfalme wao.. Kwani huyo mfalme alikuwa na tatizo gani na wa-Iran wenyewe?
 
Afanye research kujitosheleza Kama Iran Ni taifa la kiislam ama la atumie njia gani Sasa, iwapo njia za kawaida (Google) na nyenginezo wanamwambia jamhuri ya kiislam, Ni muhimu ungemuelekeza njia hizo ulizotumia wewe,naye azifuate ili agundue Iran Ni taifa la washenz na si la kidini....Kama unavyotuaminisha....vinginevyo tutajua Ni porojo tu unaongea....
Bro kazi yangu nimeimaliza. Kama unaswali lingine niulize.
 
Ila bro nliomba angalau chanzo ninachoweza kupata hizo taarifa swali langu ukagoma. Ila vyanzo vyote ninavyovijua mimi vinaitaja Iran kama Jamhuri ya kiislamu. By the way najua pengine waweza kuwa unajua mengi kuhusu Iran na Uislam kwa ujumla, ila kama umekataa ku-share nasi pia uwe na amani
Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.

Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?

Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.

Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?

Ukinijibu maswali haya machache na rahisi sana. Kuna mwongozo nitakupa,lazima tuwe na tabia ya kuchakarika katika kuutafuta ukweli.
 
Afanye research kujitosheleza Kama Iran Ni taifa la kiislam ama la atumie njia gani Sasa, iwapo njia za kawaida (Google) na nyenginezo wanamwambia jamhuri ya kiislam, Ni muhimu ungemuelekeza njia hizo ulizotumia wewe,naye azifuate ili agundue Iran Ni taifa la washenz na si la kidini....Kama unavyotuaminisha....vinginevyo tutajua Ni porojo tu unaongea....
Nasisitiza: Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, imekuwa hivyo officially tangu mapinduzi yaliyoongozwa na Ayatollah Khomeini yaliyomuondoa Shah Reza Pahlavi.
 
HAYA mambo yanarithishwa vizazi na vizazi.
enzi hizo wanaitwa wajemi.

Iran ana mpango wa kuweka base Syria ili iwe rahisi kuishambulia Israel kwa kutokea Syria.
jambo ambalo Israel analipinga..
dats Y?.miezi kadhaa kulikuwa na mzozo kuhus ndege ya Israel iliyotunguliwa Syria ...

bifu Kati ya Israel na Iran ni kama la ki historia Lina story ndefu tangu enz za uajemi.

maswala ya kidini na mzozo wa Palestine na Syria nayo yamechangia kwa kiasi kikubwa Iran na Israel kuwa na vuguvugu..kwa kipindi cha miaka ya hiv karibun..

kuna miaka Fulani majasusi wa mossad waliwafanya kitu mbaya wa Iran enz za utawala wa ki falme miaka ya 70+
ndipo mapinduzi yalipotokea na kufanya hata hatma ya mfumo wa uongozi kubadilika na kimsimika kiongoz wa din almaruf kwa ayattolah kuwa ndiye final say..
hapo ndipo wakaanza kujiita jamhur ya kiislamu..
ofcoz iran ni jamhur ya kiislamu but kutokana na mapandikizi..ya western imefanya miaka ya hiv karibun jamhur kuyumba..

yapo.mengi but nadhan nimekupa mwanga..utanisamehe kwa kushindwa kuvhambua vzur.

binafsi katika mataifa ya mashariki ya kiarabu Moja wapo ya taifa linalojitambua na halitishiki ni IRAN.
cyo kama kina Saudi wanavurugwa na kulipuana wenyewe kwa wenyewe mf now mdororo Kati ya
Saudia na Yemen.
 
Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.

Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?

Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.

Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?

Ukinijibu maswali haya machache na rahisi sana. Kuna mwongozo nitakupa,lazima tuwe na tabia ya kuchakarika katika kuutafuta ukweli.
Ushia au Usuni yote ni Uislamu tu,usitoke nje ya mada. Je Iran ni Jamuhuri ya Kiislamu au la?
 
mjamaaa kaingia na biti utadhani anajua kumbe chenga tuu.
anashindwa kusema..sawa na
ndani ya ukristo kuna
Roman.lutheran na Hawa walokole etc.
ni sawa na katika uislamu kuna madhehebu bt WOTE wanahesabika kuwa ni waislamu...
 
Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.

Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?

Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.

Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?machac
Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.

Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?

Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.

Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?

Ukinijibu maswali haya machache na rahisi sana. Kuna mwongozo nitakupa,lazima tuwe na tabia ya kuchakarika katika kuutafuta ukweli.
-Ndiyo, mfano Saudia ana mgogoro na Iran hasa kwenye masuala ya Yemen

-Nijuavyo mimi, Washia ni jamii ya Waislam pamoja na wa-Sunni. Wanatofautiana kwenye baadhi ya mambo ila wote ni waislam.
 
Ushia au Usuni yote ni Uislamu tu,usitoke nje ya mada. Je Iran ni Jamuhuri ya Kiislamu au la?
Hujui unachokiandika bro,tena hujui hasa. Huwezi kuongelea Irani bila kuuongelea USHIA bro.

Ukiambiwa "Jamhuri ya kiislamu",akili yako inabidi ijue bali ndio hakika ya mambo kwamba dola inakuwa chini ya utawala wa kiislamu.

Sasa,ukishajua hilo,inabidi uujue kwamba Ushia ni uislamu au la.

Umenishangaza sana uliposema "Ushia au usuni yote ni uislamu tu". Kauli yako hii imeonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga katika hili.
 
Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.

Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?

Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.

Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?

Ukinijibu maswali haya machache na rahisi sana. Kuna mwongozo nitakupa,lazima tuwe na tabia ya kuchakarika katika kuutafuta ukweli.
huruma wapi wewe?
unaonekana mbinafsi.. et "Nimeingia na huruma ya ki elimu"

halafu ulivyokuwa hujuh UMESHINDWA tambua kuwa ndani ya uislamu kuna madhehebu as ukristo ulivyo na madhehebu yake eg.roman Lutheran etc
hao shia wapo ndani ya uislamu.
na itikadi zao zpo different sana na Hawa wa kawaida...ambao ni madhehebu mengine.
na ndiyo sababu kuu ya kuwa against na wenzao..mbona hapa bongo kuna wale wa shia aka wasuni.wao Wana taratibu zao ma ufika mbali ZAIDI hata kuipinga bakwata na Wana umoja wao na Sheria zao..but haijabadilisha wao kuwa waislamu...
kuna propaganda nyingi zinasemwa dhidi ya iran lakini ki uhalisia c za kweli..

ni kama Roman walivyo na itikadi tofauti na walokole na kufikia hatua ya kupingana but haibadilishi maana ya kuwa walkristo...
 
Back
Top Bottom