Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Bro uko sahihi,na hapa natilia mkazo kwa maneno haya mafupi "Hakuna ibada yoyote ya mashia ikafanana na ibada ya waislamu". Huu ndio ukweli,kwa ufupi USHIA ni dini kando tofauti na uislamu.
Bro, elimu inatafutwa. Nakubali, ila haitafutwi popote, kama unaweza nielimishe, kama huwezi/hutaki nipe hata mwongozo kuwa nenda site fulani. Mfano mzuri ni huyo ndugu hapo juu kaniambia nimtafute Malcolm Lumumba. Sasa wewe kaka kama elimu yako huwezi kuipasisha kwa wengine unatoa room ya watu kuitilia mashaka
 
Lengo langu si kuleta mtafaruku isipokuwa ni kutanabaisha hii ikhtilafu iliyopo baina ya hii mada.

Shia katika sala, sala yao huwa tofauti na Sunni kuanzia katika adhana, udhu, qibla na sala.

Kuhusu Qur'an Shia wanasema Qur'an wanayotumia Sunni haijakamilika na wana mas' hafu yao wakati Sunni wanasema Qur'an wanyoitumia imekamilika.

Shia kwao Muhammad s.a.w hakustahili Utume Bali Utume ulikuwa ni haki ya Ally wakati Sunni Muhammad ni Mtume na Ally ni sahaba.

Qibla cha kusalia cha Sunni kipo Makkah Saudi Arabia wakati Shia kipo Karbala Iraq.

Shahada kwa Sunni zipo mbili kwa Shia zipo tatu.

Hayo ni baadhi ambayo Sunni na Shia wanatofautiana. Muhimu ni kuelimishana kama kweli imethibiti mmoja wao hayupo sahihi na wala si kudharauliana au kukejeliana kwani hayo ya kudharauliana au kutoa lugha kali, chafu, Mtume ameyakataza na Qur'an vilevile imekataza.

Ndani ya Sunni vilevile kuna ikhtilafu kuna Salafi ambao wanawaambia wenzao katika wao ninyi ni watu wa bida'a( waliyozusha mambo katika dini) na wengine katika wao wanawaambia ninyi ni waharibifu katika dini.
Asante sana mkuu, nmenufaika sana na comment/mchango wako. Asante
 
Bro, elimu inatafutwa. Nakubali, ila haitafutwi popote, kama unaweza nielimishe, kama huwezi/hutaki nipe hata mwongozo kuwa nenda site fulani. Mfano mzuri ni huyo ndugu hapo juu kaniambia nimtafute Malcolm Lumumba. Sasa wewe kaka kama elimu yako huwezi kuipasisha kwa wengine unatoa room ya watu kuitilia mashaka
Nataka nikusaidie,ila ukijibu maswali haya itakuwa rahisi sana.

Unakubali jamhuri ya Irani iko chini ya Mashia kiitikadi na ki mwenendo ?
 
Write your reply...najitahidi sanakupost hapa,post zinapotelea hewani
 
Iran na Saudi Arabia wana ugomvi gani na wote ni waislaam?
Saudi Arabia ndio kijana wa Sunni na Iran ndiye kinara na promoter wa Shia duniani. Iran inatumia pesa nyingi sana kuhakikisha ushia unaenea duniani na hasa kuwabadili wasunni kuwa washia imefikia hatua kwa ufadhili wa Iran misikiti ya mashia inajengwa na kunakuwa na mgao wa pesa kwa watu wote wanaosali hapo kila baada ya swala ya ijumaa. Jambo hili linaukosesha usingizi wasunni na hasa Saudi Arabia ambaye ni mnufaika mkuu( kiuchumi) wa uislamu kupitia utalii, hija, umrah nk. Kwaiyo ni vita ya kiuchumi iliyobeba taswira ya vita ya kidini.
Hata sasa Saudia anatamani Israel/usa waivamie Iran na kuiteketeza kabisa.
 
Write your reply...hivi mwajua kuwa wafuasi wa mwanzo wa mashia ndo ilikuwa family ya mtume?,mwajua kuwa hata kabla mtume hajazikwa hawa watu wao walikuwa busy kuchagua mrithi wa mtume wakati Ali yuko busy na mazishi na kwamba baadae walihakikisha wanaua family yote ya mtume?
 
Nataka nikusaidie,ila ukijibu maswali haya itakuwa rahisi sana.

Unakubali jamhuri ya Irani iko chini ya Mashia kiitikadi na ki mwenendo ?
Ninachokijua kuhusu Ushia na U-Sunni ni kidogo sana kama nlivyoeleza hapo juu. Kwa hiyo ukiniuliza kiitikadi na kimwenendo naweza shindwa kirahisi tu. Maana tofauti iliyopo katika itikadi na mienendo yao
 
Write your reply...mtume hakuwa na mtoto wa kiume,common sense tu inakuelekeza ujue kuwa Ali ndo alikuwa successor,na ndo maana mtume alimwoza binti yake fatima,ajabu wakati mtume kafa kabla hata hajazikwa tayari akina umar,abubakar na wazee wa kikabila wakakaa kuchagua mrithi kinyume kabisa na maagizo ya mtume,mbaya zaid wakaproceed kuhakikisha wanaua family yote ya mtume,hawa leo eti wanajidai kuwahukumu shia kuwa sio waislamu,
 
Kwahiyo hujui kama dola ya Irani iko chini ya Mashia si ndio ?

Dola ile iko chini ya mashia muasisi wa dola ile anaitwa Khomeini na wasasa anaitwa Ali Khamenei.

Ushia si uislamu.

Sasa nakuuliza swali la mwisho ili nikamilishe msaada wangu kwako.

Wewe ni muislamu ?
 
Write your reply...mtume hakuwa na mtoto wa kiume,common sense tu inakuelekeza ujue kuwa Ali ndo alikuwa successor,na ndo maana mtume alimwoza binti yake fatima,ajabu wakati mtume kafa kabla hata hajazikwa tayari akina umar,abubakar na wazee wa kikabila wakakaa kuchagua mrithi kinyume kabisa na maagizo ya mtume,mbaya zaid wakaproceed kuhakikisha wanaua family yote ya mtume,hawa leo eti wanajidai kuwahukumu shia kuwa sio waislamu,
Bro hujui chochote katika ushia wala uislamu.

Unajua mabinti wangapi wa mtume amewaozesha maswahaba wake ambao mashia wanawatukana na kuwakufurisha ?

Halafu kuozwa sio sababu ya kuhitimisha ya kuwa Ali ndio alitakiwa kuwa mrithi wa mtume baada yake.

Kadhalika Ali mtume hakuacha wasia ya kuwa Ali ndio awe mrithi wake,kama ingekuwa hivyo hata Ali angelisema hilo na kuwaambia maswahaba wenzake.

Kadhalika hakuna maswahaba waliopanga kuuwa kizazi cha mtume. Mathalani Hussein mjukuu wa mtume aliuliwa na mashia wenyewe waliojidai wanampenda sana yeye na kizazi cha mtume.

Ukifatilia kizazi cha Ali ili kudhihirisha madai ya mashia kuwa ni ya uongo,kuna mtoto wake amempa jina la swahaba Abubakr au Umar kama sikosei ambao maswahaba hawa kwa mashia wanawasema ni makafiri.

Hizo ni dondoo tu kwa ufupi. Wa ila nina swali la msingi,je unajua asili ya USHIA ?

Na unajua yale mashia waliyoyafanya katika dola ya Swafawiyya ?

Kama hujui hili uko uaminifu wako katika elimu ?
 
Write your reply...hivi mwajua kuwa wafuasi wa mwanzo wa mashia ndo ilikuwa family ya mtume?,mwajua kuwa hata kabla mtume hajazikwa hawa watu wao walikuwa busy kuchagua mrithi wa mtume wakati Ali yuko busy na mazishi na kwamba baadae walihakikisha wanaua family yote ya mtume?
Kaka unajua umuhimu wa mtawala katika dola ? Dola haitakiwi kuwa bila mtawala hata ndani ya usiku mmoja.

Halafu suala la kuzika ni faradhi kifaya,wakilifanya wachache imetosheleza wengine. Na hiyo haimaanishi kwamba watu hawana upendo,ndio maana katika jambo linalotakiwa kufanyiwa haraka katika yale matatu ni hili la kuzika.

Halafu familia ya mtume haikuwa katika mashia.

Rudi usome historia vizuri. Sio unasoma historia za akina Majlisi, na ukitaka kuujua ushia soma vitabu vyao vya asili kama vile Biharul anwar,Usul al Kafi vya kina Niimatullah Al Jazairi na akina Al Majlisi.

Sasa kama vitabu hivi huna unakosa vigezo vya kuuongelea Ushia.
 
Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.

Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?

Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.

Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?

Ukinijibu maswali haya machache na rahisi sana. Kuna mwongozo nitakupa,lazima tuwe na tabia ya kuchakarika katika kuutafuta ukweli.
Kulingana na maelezo yako na nilishajua hili toka mwanzo wewe ni SHIA ITHNA ASHARIA.
Halafu ngoja kwani shia sio dhehebu katika uislamu (katika yale 73).
Halafu kwa nini ukatae kuwa irani si jamhuri ya kiislamu?au kuwa shia hauwi muislamu?
 
Write your reply...mtume hakuwa na mtoto wa kiume,common sense tu inakuelekeza ujue kuwa Ali ndo alikuwa successor,na ndo maana mtume alimwoza binti yake fatima,ajabu wakati mtume kafa kabla hata hajazikwa tayari akina umar,abubakar na wazee wa kikabila wakakaa kuchagua mrithi kinyume kabisa na maagizo ya mtume,mbaya zaid wakaproceed kuhakikisha wanaua family yote ya mtume,hawa leo eti wanajidai kuwahukumu shia kuwa sio waislamu,
mbora katika uislam ni mwenye elimu hekima na busara na anayefuata maudhui ya matendo na maneno ya mtume
Uislamu hakuna kurithishana ufalme uislam tunarithishana elimu na mwenye kujibiidisha kwa elimu ndo mbora katika wote
 
Saudi Arabia ndio kijana wa Sunni na Iran ndiye kinara na promoter wa Shia duniani. Iran inatumia pesa nyingi sana kuhakikisha ushia unaenea duniani na hasa kuwabadili wasunni kuwa washia imefikia hatua kwa ufadhili wa Iran misikiti ya mashia inajengwa na kunakuwa na mgao wa pesa kwa watu wote wanaosali hapo kila baada ya swala ya ijumaa. Jambo hili linaukosesha usingizi wasunni na hasa Saudi Arabia ambaye ni mnufaika mkuu( kiuchumi) wa uislamu kupitia utalii, hija, umrah nk. Kwaiyo ni vita ya kiuchumi iliyobeba taswira ya vita ya kidini.
Hata sasa Saudia anatamani Israel/usa waivamie Iran na kuiteketeza kabisa.
Kweli kabisa mkuu haya nimeyashuhudia huku kwetu Shia jinsi wanavyoji promote kiasi cha kufikia kuwanunua wa sunni....
Kumbe Iran ana vita kubwa sana
 
we ni msunni au mshia
Tatizo unakurupuka sana,tuliza akili kisha soma nilichokiandika taratibu.Usijidai unasoma nilichokiandiki bali soma nilichokiandika,mwanzo unasema umegundua mimi ni SHIA ITHNASHARIA halafu hapa unauliza tena,sasa ulichokigundua nini bro ?
 
Back
Top Bottom