Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro, elimu inatafutwa. Nakubali, ila haitafutwi popote, kama unaweza nielimishe, kama huwezi/hutaki nipe hata mwongozo kuwa nenda site fulani. Mfano mzuri ni huyo ndugu hapo juu kaniambia nimtafute Malcolm Lumumba. Sasa wewe kaka kama elimu yako huwezi kuipasisha kwa wengine unatoa room ya watu kuitilia mashakaBro uko sahihi,na hapa natilia mkazo kwa maneno haya mafupi "Hakuna ibada yoyote ya mashia ikafanana na ibada ya waislamu". Huu ndio ukweli,kwa ufupi USHIA ni dini kando tofauti na uislamu.
Asante sana mkuu, nmenufaika sana na comment/mchango wako. AsanteLengo langu si kuleta mtafaruku isipokuwa ni kutanabaisha hii ikhtilafu iliyopo baina ya hii mada.
Shia katika sala, sala yao huwa tofauti na Sunni kuanzia katika adhana, udhu, qibla na sala.
Kuhusu Qur'an Shia wanasema Qur'an wanayotumia Sunni haijakamilika na wana mas' hafu yao wakati Sunni wanasema Qur'an wanyoitumia imekamilika.
Shia kwao Muhammad s.a.w hakustahili Utume Bali Utume ulikuwa ni haki ya Ally wakati Sunni Muhammad ni Mtume na Ally ni sahaba.
Qibla cha kusalia cha Sunni kipo Makkah Saudi Arabia wakati Shia kipo Karbala Iraq.
Shahada kwa Sunni zipo mbili kwa Shia zipo tatu.
Hayo ni baadhi ambayo Sunni na Shia wanatofautiana. Muhimu ni kuelimishana kama kweli imethibiti mmoja wao hayupo sahihi na wala si kudharauliana au kukejeliana kwani hayo ya kudharauliana au kutoa lugha kali, chafu, Mtume ameyakataza na Qur'an vilevile imekataza.
Ndani ya Sunni vilevile kuna ikhtilafu kuna Salafi ambao wanawaambia wenzao katika wao ninyi ni watu wa bida'a( waliyozusha mambo katika dini) na wengine katika wao wanawaambia ninyi ni waharibifu katika dini.
Nataka nikusaidie,ila ukijibu maswali haya itakuwa rahisi sana.Bro, elimu inatafutwa. Nakubali, ila haitafutwi popote, kama unaweza nielimishe, kama huwezi/hutaki nipe hata mwongozo kuwa nenda site fulani. Mfano mzuri ni huyo ndugu hapo juu kaniambia nimtafute Malcolm Lumumba. Sasa wewe kaka kama elimu yako huwezi kuipasisha kwa wengine unatoa room ya watu kuitilia mashaka
Saudi Arabia ndio kijana wa Sunni na Iran ndiye kinara na promoter wa Shia duniani. Iran inatumia pesa nyingi sana kuhakikisha ushia unaenea duniani na hasa kuwabadili wasunni kuwa washia imefikia hatua kwa ufadhili wa Iran misikiti ya mashia inajengwa na kunakuwa na mgao wa pesa kwa watu wote wanaosali hapo kila baada ya swala ya ijumaa. Jambo hili linaukosesha usingizi wasunni na hasa Saudi Arabia ambaye ni mnufaika mkuu( kiuchumi) wa uislamu kupitia utalii, hija, umrah nk. Kwaiyo ni vita ya kiuchumi iliyobeba taswira ya vita ya kidini.Iran na Saudi Arabia wana ugomvi gani na wote ni waislaam?
Ninachokijua kuhusu Ushia na U-Sunni ni kidogo sana kama nlivyoeleza hapo juu. Kwa hiyo ukiniuliza kiitikadi na kimwenendo naweza shindwa kirahisi tu. Maana tofauti iliyopo katika itikadi na mienendo yaoNataka nikusaidie,ila ukijibu maswali haya itakuwa rahisi sana.
Unakubali jamhuri ya Irani iko chini ya Mashia kiitikadi na ki mwenendo ?
Kwahiyo hujui kama dola ya Irani iko chini ya Mashia si ndio ?Ninachokijua kuhusu Ushia na U-Sunni ni kidogo sana kama nlivyoeleza hapo juu. Kwa hiyo ukiniuliza kiitikadi na kimwenendo naweza shindwa kirahisi tu. Maana tofauti iliyopo katika itikadi na mienendo yao
Bro hujui chochote katika ushia wala uislamu.Write your reply...mtume hakuwa na mtoto wa kiume,common sense tu inakuelekeza ujue kuwa Ali ndo alikuwa successor,na ndo maana mtume alimwoza binti yake fatima,ajabu wakati mtume kafa kabla hata hajazikwa tayari akina umar,abubakar na wazee wa kikabila wakakaa kuchagua mrithi kinyume kabisa na maagizo ya mtume,mbaya zaid wakaproceed kuhakikisha wanaua family yote ya mtume,hawa leo eti wanajidai kuwahukumu shia kuwa sio waislamu,
Kaka unajua umuhimu wa mtawala katika dola ? Dola haitakiwi kuwa bila mtawala hata ndani ya usiku mmoja.Write your reply...hivi mwajua kuwa wafuasi wa mwanzo wa mashia ndo ilikuwa family ya mtume?,mwajua kuwa hata kabla mtume hajazikwa hawa watu wao walikuwa busy kuchagua mrithi wa mtume wakati Ali yuko busy na mazishi na kwamba baadae walihakikisha wanaua family yote ya mtume?
Kulingana na maelezo yako na nilishajua hili toka mwanzo wewe ni SHIA ITHNA ASHARIA.Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.
Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?
Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.
Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?
Ukinijibu maswali haya machache na rahisi sana. Kuna mwongozo nitakupa,lazima tuwe na tabia ya kuchakarika katika kuutafuta ukweli.
Umekosea kumalizia. Sio jamhuri ya kiislamu.
we ni msunni au mshiaBro kuvaa suruali fupi ni dhambi ?
mbora katika uislam ni mwenye elimu hekima na busara na anayefuata maudhui ya matendo na maneno ya mtumeWrite your reply...mtume hakuwa na mtoto wa kiume,common sense tu inakuelekeza ujue kuwa Ali ndo alikuwa successor,na ndo maana mtume alimwoza binti yake fatima,ajabu wakati mtume kafa kabla hata hajazikwa tayari akina umar,abubakar na wazee wa kikabila wakakaa kuchagua mrithi kinyume kabisa na maagizo ya mtume,mbaya zaid wakaproceed kuhakikisha wanaua family yote ya mtume,hawa leo eti wanajidai kuwahukumu shia kuwa sio waislamu,
Kweli kabisa mkuu haya nimeyashuhudia huku kwetu Shia jinsi wanavyoji promote kiasi cha kufikia kuwanunua wa sunni....Saudi Arabia ndio kijana wa Sunni na Iran ndiye kinara na promoter wa Shia duniani. Iran inatumia pesa nyingi sana kuhakikisha ushia unaenea duniani na hasa kuwabadili wasunni kuwa washia imefikia hatua kwa ufadhili wa Iran misikiti ya mashia inajengwa na kunakuwa na mgao wa pesa kwa watu wote wanaosali hapo kila baada ya swala ya ijumaa. Jambo hili linaukosesha usingizi wasunni na hasa Saudi Arabia ambaye ni mnufaika mkuu( kiuchumi) wa uislamu kupitia utalii, hija, umrah nk. Kwaiyo ni vita ya kiuchumi iliyobeba taswira ya vita ya kidini.
Hata sasa Saudia anatamani Israel/usa waivamie Iran na kuiteketeza kabisa.
Tatizo unakurupuka sana,tuliza akili kisha soma nilichokiandika taratibu.Usijidai unasoma nilichokiandiki bali soma nilichokiandika,mwanzo unasema umegundua mimi ni SHIA ITHNASHARIA halafu hapa unauliza tena,sasa ulichokigundua nini bro ?we ni msunni au mshia