ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Ali anaangaika na msiba hii mijamaa huku inapiga kura halafu unaita uchaguzi huru na haki ahahahahhahahaahaha , yaani hawana tofauti yeyote na ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali anaangaika na msiba hii mijamaa huku inapiga kura halafu unaita uchaguzi huru na haki ahahahahhahahaahaha , yaani hawana tofauti yeyote na ccm
Yaani watu mnajua kupamba. Ndio mwisho wa uhuru wa binadamu? Kwa wao ndio wanagawa uhuru? Au unahisi inakuwa napiga mabomu kokote itakakogeukia?. Basi itakuwa ina viongozi vichaaNakazia tu kuvamiwa kwa Iran ndiyo mwisho wa Uhuru kwa Binadamu.
Basi kama ndio hivyo ...watu wengi sana watakuwa wameingizwa changa la macho ..mafundisho mengi waliyo fundishwa ni bandiaAli anaangaika na msiba hii mijamaa huku inapiga kura halafu unaita uchaguzi huru na haki ahahahahhahahaahaha , yaani hawana tofauti yeyote na ccm
Weka wewe wanazuoni wa kishia wanasemaje?Hao wote ni wanazuoni wa kisuni unafikiri wataongea jema gani juu ya shia zaidi ya propaganda ?
Kumbuka kipindi hicho hakukuwa na visanduku vya kupigia kura bali kura huhesabiwa kwa viongozi mbali mbali wa koo za kikureysh kunyoosha mikono juu.Kura sizina chakachuliwa tu .... Hata wapigaji na wasimamizi ni binaadamu kama Mimi na wewe wana tamaa zao za kibinaadamu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado Haimanishi kwamba hujuma zisingeweza kufanyika ...binaadamu huwa anaishi na kupambana na mazingira kutokana na wakati na technology ya wakati huo ...... Halafu umeulizwa swali hapo naona haujajibuKumbuka kipindi hicho hakukuwa na visanduku vya kupigia kura bali kura huhesabiwa kwa viongozi mbali mbali wa koo za kikureysh kunyoosha mikono juu.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Ukizungumzia washenz,ndio watu wa aina gani mkuu?Afanye research kujitosheleza Kama Iran Ni taifa la kiislam ama la atumie njia gani Sasa, iwapo njia za kawaida (Google) na nyenginezo wanamwambia jamhuri ya kiislam, Ni muhimu ungemuelekeza njia hizo ulizotumia wewe,naye azifuate ili agundue Iran Ni taifa la washenz na si la kidini....Kama unavyotuaminisha....vinginevyo tutajua Ni porojo tu unaongea....
Wanazuoni wa kishia wanasema wakina Abubakari katu awakupata uongozi kwa haki , kama unabisha tuambie wakati kura zinapigwa kama ulivyosema Ali alikuwa wapi ?Weka wewe wanazuoni wa kishia wanasemaje?
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mkuu Abubakar na Omary walikuwa na tamaa sana hawa ndio chanzo cha matatizo yote katika ulimwengu wa kiislamu , Ali alikuwa na busara sana ndio maana aliacha tu mambo yaendelee tuBasi kama ndio hivyo ...watu wengi sana watakuwa wameingizwa changa la macho ..mafundisho mengi waliyo fundishwa ni bandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Abubakar na Omary walikuwa na tamaa sana hawa ndio chanzo cha matatizo yote katika ulimwengu wa kiislamu , Ali alikuwa na busara sana ndio maana aliacha tu mambo yaendelee tu
Mtume (S.A.W) alisema watakaomuua Uthman ni kundi moja la waislam ambao (wamepotea) lilatakotokea baada ya yeye kufishwa je ni kundi gani lilomuua Uthman? Achana na Umar na Ali hawa wote waliuliwa na Makafir.Kama ulikuwa ufahamu ata Omari aliuliwa , ata Ali nae aliuliwa unaona kuuliwa ni Hoja , Ali ata kwenye kupiga kura hakuwepo halafu unadai haki kutendeka ahahahahaha
Maswali mangapi ya kwangu ameyajibu zaidi ya kutaka ajibiwe hoja zake bila kujibu za kwangu.Bado Haimanishi kwamba hujuma zisingeweza kufanyika ...binaadamu huwa anaishi na kupambana na mazingira kutokana na wakati na technology ya wakati huo ...... Halafu umeulizwa swali hapo naona haujajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo we ulitaka awepo ili afanye kampeni? Yeye alikuwepo pamoja na maswahaba wengine kwenye kumuosha mtume.Uongozi wa Kiislam haugombewi bali hupendekezwa na watu wengi wakimpendekeza mmoja huyo huyo ndie anaefaa.Kama ulikuwa ufahamu ata Omari aliuliwa , ata Ali nae aliuliwa unaona kuuliwa ni Hoja , Ali ata kwenye kupiga kura hakuwepo halafu unadai haki kutendeka ahahahahaha
Uongozi wa kiislam hauna mgombea bali mtu hupendekezwa.Aje atuambie hizo kura zilipopigwa Ali kama candidate alikuwa wapi ?
Mashia wanamtaka Ali kuwa caliph wewe unasemaje wamepotea !! au kumtaka Ali kuwa caliph ni upotevu toka lini , watu wanahuzunika mauaji ya mjukuu wa mtume kalbara wewe unaita upotevu , ujajibu swali langu hizo kura za kumchagua Abubakar vip Ali alikuwa wapi ? acha kuzunguka nakuangalia tuMtume (S.A.W) alisema watakaomuua Uthman ni kundi moja la waislam ambao (wamepotea) lilatakotokea baada ya yeye kufishwa je ni kundi gani lilomuua Uthman? Achana na Umar na Ali hawa wote waliuliwa na Makafir.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Nani alimpendekeza Abubakari na kwa vigezo gani ambavyo vinaweza kumpiku Ali ?Uongozi wa kiislam hauna mgombea bali mtu hupendekezwa.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mashia wanamtaka Ali kuwa caliph wewe unasemaje wamepotea !! au kumtaka Ali kuwa caliph ni upotevu toka lini , watu wanahuzunika mauaji ya mjukuu wa mtume kalbara wewe unaita upotevu , ujajibu swali langu hizo kura za kumchagua Abubakar vip Ali alikuwa wapi ? acha kuzunguka nakuangalia tu
Sasa huo uchaguzi au genge la wahuni , watu wako busy na masuala ya majonzi na msiba wa mtume, huku pembeni wakina Abubakar wanafanya uchaguzi halafu unasema ni jambo la waislamu wote hivi hii ni akili kweli ?Kwahiyo we ulitaka awepo ili afanye kampeni? Yeye alikuwepo pamoja na maswahaba wengine kwenye kumuosha mtume.Uongozi wa Kiislam haugombewi bali hupendekezwa na watu wengi wakimpendekeza mmoja huyo huyo ndie anaefaa.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Liko wazi mkuu kweli unawezaje kufanya uchaguzi wakati watu wako kwenye msiba mzito , wakina Abubakar walikosa utu kabisa , halafu huyu Mtume ujue ni mjomba wake Ali, hivyo alikuwa na uchungu mara 2 kwanza ndugu yake na pili mtume wake , hawa wakina Abubakari wenyewe wanawaza madaraka tuuuuuuIla sometimes tukirudi kiuhalisia inaonekana mashia ndiyo wako sahihi...Abu bakr ndo aliyetumia nguvu kupata madaraka hata kuua watu