ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Nimekupa logic ndogo kuwa Mungu anaweza kukupenda ukiwa unafanya mazuri kama ibilisi alipokuwa mchamungu, alipofanya uovu Mungu akamchukia, ata Omari alipokuwa anafanya mazuri alipendwa , alipoanza ujinga wake basi akawa mtu muovu , unawezaje kujiita swahaba wa mtume kipenzi uendi kuzika kisa huko busy na madaraka , huu ni uroho mkubwa nakifikir nimeelewekaAkili zako sijui umezielekeza wapi, then we sio muislam, kama ungekuwa muislam nahisi ungeona aibu kwa hiki ulichokiongea, Iblis (Laanatullah) eti alikuwa mchamungu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi hatma yake ilikuwa ni nini? Inamaana hujui kuwa licha ya uchamungu wake lakini mwisho wake ulikuwa ni mbaya baada ya Adam kupuliziwa roho?
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD