Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Kwa Muislam yeyote kuwakosea watu ambao M/Mungu mwenyewe amewabashiria pepo hali ya huwa wako hapa duniani ni sawa na kufru.Me navyojua waislam huwa hawachelewi kuzika kusinge kuwa na ugumu kumzika kwanza mtume halafu waje waendelee na kikao cha madaraka hawa wakina umar na mwenzie abubakr walikuwa na agenda yao na kama mtume angekufa zama hizi ingebid kifo chake kichunguzwe pengine hata hawa jamaa walihusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD