Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Yale yale babu taja references kwa usahihi wake acha mboyoyo ata QURAN imewekwa SURA na AYA , au unafikir wameweka kwa ujinga ? ata hili tukufundishe
Nasubiri ushahidi unao onyesha ya kuwa Mashia wana mkiri Allah na mtume wake.
 
Yaani mtume atake kalamu na karatasi kuandika final wish halafu Omary na genge lake wakatae unaniambia sina hoja ahahahahaha Omary anamfundisha mtume kipi cha kufanya , OMAR ni mtu asie na adabu ata kidogo kwa mtume

Huna hoja sababu Allah akitaka jambo lake liwe linakuwa na hakuna wakuzuia, na kauki hii mashia huwa mnamtia dosari Allah na mtume wake.

Nasubiri ushahidi wa maswali nikiyo kuukiza.
 
Hoja nzito lazima ukimbie kimbie mtu anamfundisha mtume cha kufanya , yaani mtume yuko katika maradhi anataka kuandika final wish halafu OMAR yeye ndio awe wa kumfunza mtume !!ahahahaha yaani mpaka mtume anaamua KUWAFUKUZA nje bado tu akili yako imegoma kuamini tabia mbaya ya Omar na genge lake pole sana
 
Umeishiwa hoja nimekwambia njoo hapa mtaani kwangu uwaone halafu uwakatae tena sio mashia ahahahaha
Nilikwambia Mashia tuna ishi nao, na mimi niko nao mtaani, kwahiyo hakuna ushahidi wa mtindo huo kijana ndio maana natska uthibitishe hilo.

Ungeniuliza mimi swali hili lingekuwa limeisha kitambo sana.

Nasubiri ushahidi, swali rahisi kama hili linakushinda hayo magumu itakuwaje ? Ndio maana huwa unakimbia maswali.
 
Huishi na mashia wewe umezoea kuwasemea uongo njoo hapa mtaani nikuonyeshe watu wanavyomtaja Allah na mtume wake Mohammad hadharani bila kificho , huo uwongo wako kadanganye Masuni wenzako, Mungu wa Mashia ni Allah na mtume ni Mohammad ili limekwisha
 
Hoja nzito lazima ukimbie kimbie mtu anamfundisha mtume cha kufanya , yaani mtume yuko katika maradhi anataka kuandika final wish halafu OMAR yeye ndio awe wa kumfunza mtume !!ahahahaha yaani mpaka mtume anaamua KUWAFUKUZA nje bado tu akili yako imegoma kuamini tabia mbaya ya Omar na genge lake pole sana
Ndio maana nikasema hivi kwa hoja za kiakili tu hili jambo unalo lidai wewe halipo, hapo bado sijaja kuichambua hadithi kukuonyesha uongo wenu Mashia ulipo.

Kazi yangu unaijua, nikija kumaliza na maliza kweli.

Hivi kweli Mashia akili zenu sijui mnaziweka wapi, mtume ambae aliambiwa na Allah lau angeficha katika yale aliyoshushiwa angevunjwa shingo yake, leo uje useme swahaba wake alimzuia kufikisha ujumbe ? Huwa nacheka sana ninapo soma hoja yenu hii ambayo ni mufilisi.

Mtume muda ule alikuwa amesha fikisha kila kitu. Halafu tukiwsuliza jalia kwamba hilo tukio lingekuwa la kweli kama mnavyolizungumza nyi, je mlijuaje kama mtume alitaka kuzugumzia jambo la utawala na kuacha kuwaita maswahaba na kuwaweka pamoja na kuwatangazia hili ?

Yaani Mashia vilaza kama walivyo makafiri Wang ne Wakristo na Mayahudi.
 
Lete hadithi hiyo hapa kama ubavu huo unao ahahahaha, aibu tupu mtume anataka kuandika final wish ili Umma wa Kislamu USIPOTEE, halafu anatokea OMAR analeta ujuaji wa kumshinda mtume !!! ahahahah halafu unasema hoja ya kiakili tena kuonyesha mtume kukasirishwa na tabia ile akawatimua NJE halafu unasema utaleta hadithi wewe thubutu yako
 
Swali hujajibu na najua huna jibu, thibitisha kama ule ndio ulikuwa ujumbe wa mwisho,kwanini hujibu maswali kijana?
 
Wacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.
Wewe Ni mutu bha kongo au bha Tanzania
 
Swali hujajibu na najua huna jibu, thibitisha kama ule ndio ulikuwa ujumbe wa mwisho,kwanini hujibu maswali kijana?
acha kuruka ruka lete hadithi hapa tuone OMAR akimfundisha mtume cha kufanya. Badala ya mtume kuwafundisha cha.kufanya , thubutu kuleta hadithi hiyo aibu itarudi kwako
 
Ubashiri unaweza ukatimia au usitimie , kama huyu anaebashiriwa atakuwa katika hali tofauti na ile iliyomfanya abashiriwe mwanzo, Omari kawa jeuri anakataa final wish ya mtume huu ni UASI yaani amemuasi mtume kisha akamuasi ALLAH
Kukaa kimya ni jibu tosha ila naona bado unataka, kwani alibashiriwa na nani? Kisha niambie ni kipi ambacho alikibashiri mtume Muhammad (S.A.W.W) kikawa hakijatimia.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Taqiyyah haikawahi kumuacha mtu salam, kusujudu juu udongo wa Karbala pia.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Huwajui majui kijana,nikajua vitabu vyao nilivyo viweka humu umesoma.

Sipotezi muda kujadiliana na Mjings,na sio kila anaeshuhudia hilo anakuwa muislamu bali mtu anaingia kwenye uislamu kwa shahada na shahada katika uislamu ni mbili,ila kwa mashia ni tatu,sasa hiyo ya tatu mpaka kesho hawatuambii wameipata wapi.

Wao wanasema : Nashuhudia ya kuwa Allah ndie anaepaswa kuabudiwa na mtume Muhammad ni mja na mjumbe na nashuhudia ya kuwa Aliy ni Walii wa Allah. Hii shahada haipo katika Uislamu,na adhana zao zinasikika kila ucha na uchwao.

Nasema tena sibishani na mjinga,mjinga ambae hata nikikuambia utaje vitabu vya asili japo viwili vya USHIA huwezi kuvitaja.

Mashia wana mengi yakuwatoa katika uislamu na sio Waislamu.
Huyu lazima ni salafist.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukaa kimya ni jibu tosha ila naona bado unataka, kwani alibashiriwa na nani? Kisha niambie ni kipi ambacho alikibashiri mtume Muhammad (S.A.W.W) kikawa hakijatimia.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Nimeshakujibu kuwa ubashiri wa peponi na motoni inategemea nyakati , ata Ibilisi alikuwa Mwema akawekwa kundi moja na malaika lakini alipoasi akawa muovu , ata OMAR hivyo hivyo mtume alipokuwa mzima alikuwa pamoja nae lakini alipoanza kuumwa maradhi ya umauti ndio akaanza kumbishia na kuleta jeuri, na maandiko yako wazi mwenye kumpinga mtume huyo ni MUOVU , hivyo automatically OMAR kwa kukujifanya yeye ndio mualimu wa mtume huo ni UOVU, huelewi nini wewe !!!
 
Unachekesha sana, hivyo Ibilisi nae alibashiriwa pepo eeh! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Alikaa kabisa peponi au ujui alimdanganya Adamu na hawa akiwa wapi ? au unafikir kwanini hakuwa malaika lakini alichanganywa na malaika !! hivi unafikir tunabahatisha hapa
 
Nilichokuuliza sicho ulichojibu, narudia tena, alibashiriwa pepo?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Back
Top Bottom