Mkuu hii salamu inafikirisha sana.Mkuu hii salamu Haina msingi wa kuitegemea.
Huyo Jamhuri hafahamiki ni nani.
Kwanini Rais anahofia kusalimia wananchi Kwa kuzitambua dini zao au tamaduni zao??
Kama anaona soni kusema Asalam Aleykum au Bwana Yesu Asifiwe basi aseme tu Habarini za saa hizi ma bibi na mabwana.
Huyo Jamhuri ndio nani??
Mkuu hii salamu inafikirisha sana.
Kwa mtazamo wako mkuu ila kwangu no,mm binafisi ni mungu kwanza.Haifikirishi chochote ni salamu inayofaa makundi yote nchini kwa wakati wote
Kwa mtazamo wako mkuu ila kwangu no,mm binafisi ni mungu kwanza.
Asalimie kwa salamu za dini za Watanzania kama alivyofanya mtangulizi wake na hiyo iwe ndiyo sala ya kufungua mkutano. Hakuna haja ya kuwaita viongozi wa dini wasali tena. Tunapoteza muda kwani wanatoa hotuba badala ya sala fupi.
Huko ni apende...waliopita hawakusalimiana hivyo...Una point hapo. Sasa Rais lazima kupenda na kuheshimu dini za wananchi wote. Basi anagalau abadilishe kidogo aseme ""Msifuni Yesu Kristu!"
Eti kazi iendelee Hiki nini Hiki?
Aseme msifuni yesu Kristu Kwan yupo kanisani yeye?Una point hapo. Sasa Rais lazima kupenda na kuheshimu dini za wananchi wote. Basi anagalau abadilishe kidogo aseme ""Msifuni Yesu Kristu!"
Kwani Magufuli alipokuwa akisalimia Asalaam Aleikhum! Bwana asifiwe! Tumsifu Yesu Kristu! alikuwa kanisani? Ni salamu walizozoea Watanzania, na hazina ukakasi. Tumeshauri Mama azitumie badala ya secular salutation that is followed by lengthy prayers.Aseme msifuni yesu Kristu Kwan yupo kanisani yeye?
Ukimsifu wewe Kristu wako inatosha,na samia asipomsifu Kristu Kwan anapungukiwa kitu gan huyo kristu
Kwani Magufuli alipokuwa akisalimia Asalaam Aleikhum! Bwana asifiwe! Tumsifu Yesu Kristu! alikuwa kanisani? Ni salamu walizozoea Watanzania, na hazina ukakasi. Tumeshauri Mama azitumie badala ya secular salutation that is followed by lengthy prayers.
Mkuu, nchi ni secular ila wananchi wake wana dini. Ukiwasalimia kwa salamu za dini zao huondoi ule ukweli kwamba nchi ni secular. Nchi kuwa secular maana yake ni kwamba haiendeshwi kwa sheria za dini yoyote. Basi.Hii nchi ni secular na salamu zake zinapaswa kuwa secular.Sijui kwa nini huwa wanawake mambo ya maombi kwenye shughuli za serikali
Hivi amekuwa “akikwepa” tangu akiwa VP?Tunakwepa kutamka “Tumsifu Yesu Kristu “ na “Bwana Yesu asifiwe “.
Ni kweliHivi amekuwa “akikwepa” tangu akiwa VP?
Hii nchi ni secular na salamu zake zinapaswa kuwa secular.Sijui kwa nini huwa wanawake mambo ya maombi kwenye shughuli za serikali
unacho kihoji hakina hata chembe ya mashiko, hivi JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA sio jina kweli ndugu? au umekurupuka kuandika uziMwache tu kama havunji sheria ya nchi.
mkuu acha jazba siyo mimi niliyeanzisha uziunacho kihoji hakina hata chembe ya mashiko, hivi JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA sio jina kweli ndugu? au umekurupuka kuandika uzi
Lakini Rais huyo huyo anashiriki sala za kumsifu Kristu baada ya salamu. Nimependekeza salamu za dini zote kubwa Tanzania zingekuwa sala ya kutosha. Baada ya hapo hakuna sababu viongozi wa kidini waitwe kusali tena.Aseme msifuni yesu Kristu Kwan yupo kanisani yeye?
Ukimsifu wewe Kristu wako inatosha,na samia asipomsifu Kristu Kwan anapungukiwa kitu gan huyo kristu