Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani,Mkuu asante kwa kunikumbuka,makala yako ni nzuri inatufanya tusafiri kifikra na kujua maeneo tofauti na maisha yao
Nina swali,Ni kwanini ukiwa Nicaragua unaona nyota nyingi kuliko sehemu nyingine yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Uhuru na Umoja?!🙈
Unaweza kurusha tufanye project Kama affiliates?Sina cheti na kibali cha kufanya hiyo kazi maeneo hayo...Ntajitahidi nivipate...Napenda kurusha drones na nikipata chance ya kufanya hivyo maeneo hayo,that would surely be incredible!!!
Good idea but unfortunately sijafuzu bado...Nikiwa tayari ntakujulisha boss.Unaweza kurusha tufanye project Kama affiliates?
Yeah ndo hiyoSio Uhuru na Umoja?!🙈
Mfumo wa kila siku wa dunia unadhihirisha dunia ni flat, sababu ya pili sayansi ya NASA na Galileo inatambulika kama nadharia (Nadharia hii ni lazima kuifanyia hesabu.Asante kwa maelezo ila kwanini unasema na umeshuhudia na kuamini dunia ni flat,na sio duara/oval kama wengi tulivyoaminishwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,najua hii ni mada ndefu ila kwa kifupi labda utusaidie wewe ulithibitishaje?Mfumo wa kila siku wa dunia unadhihirisha dunia ni flat, sababu ya pili sayansi ya NASA na Galileo inatambulika kama nadharia (Nadharia hii ni lazima kuifanyia hesabu.
Kama ni nidharia basi zote mbili zifundishwe kila mmoja achague upande wake.
Ingia Google mkuu nawe utuletee ya hivi kwa kiswahiliMnajaza servers za JF kwa mambo ambayo mtu anaweza kuyapata google.
Na mnatumia nguvu nyingi kutangaza nchi za wenzenu wakati yenu hamuijui na wao hawana hata muda wa kusoma yenu. Smdh
Mkuu samahani kama nimekukwaza.Mnajaza servers za JF kwa mambo ambayo mtu anaweza kuyapata google.
Na mnatumia nguvu nyingi kutangaza nchi za wenzenu wakati yenu hamuijui na wao hawana hata muda wa kusoma yenu. Smdh
Kila sehem ina warembo ila wale walatino wale aseee [emoji4][emoji4][emoji4]Aisee [emoji1] Wasichana/Mabinti/Warembo wanapatikana na Amerika ya Latin ndio nyumbani kwao. All in all kila sehemu duniani inao warembo [emoji85]
Ndio maajabu ya Ziwa Nicaragua hayo, ndio Ziwa pekee (Soft Water Lake) kuwa na papa.Ziwa Nicaragua ni ziwa pekee lenye maji safi na tulivu (Fresh water lake) kuwa na papa ndani yake.
Shukran sana Mkuu sanaa ila papa anaishi ziwani pia ?!
Sent using My COVID-19
Aaah hapa nmekupata na hao papa wenyewe walizaliwa humo humo ama walipandikizwa tu ?!Ndio maajabu ya Ziwa Nicaragua hayo, ndio Ziwa pekee (Soft Water Lake) kuwa na papa.
Machweo na Mawio ya jua kutokuwa na ukanda mmoja. Mwezi kuwa wenye kuakisi mwanga. Majira (Kanda kadhaa kutokupokea majira ya kanda nyingine).Aisee,najua hii ni mada ndefu ila kwa kifupi labda utusaidie wewe ulithibitishaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Nicaragua wenyewe pamoja na UNESCO wanathibitisha hilo kuwa ni papa asilia.Aaah hapa nmekupata na hao papa wenyewe walizaliwa humo humo ama walipandikizwa tu ?!
Naje kuna namamba humo ndanimwe pia ama ?!
Sent using My COVID-19