Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,236
Nice thread mkuu, ila vp kuhusu mapokezi yao kwa wageni + tradition zao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicaragua inategemea utalii, naweza kusema ni eneo la utalii. Raia wa mataifa ya Marekani, Uhispania, Uholanzi, Ureno, Poland na Brasil ndio wengi wanaofika Nicaragua na kupokelewa vizuri.Nice thread mkuu, ila vp kuhusu mapokezi yao kwa wageni + tradition zao?
Nijua Nicaragua ipo marekani ya kusini.Ila kuna visa vingapi vya covid hapo nicaragua?| Jamhuri ya Nicaragua, Republic of Nicaragua au República de Nicaragua ni taifa linalopatikana Amerika ya Kaskazini. Nicaragua yenye ukubwa wa 129,494 Square Kilometers sawa na 49,998 Square Mile's ni nyumbani kwa watu wapatao takribani millioni 6,625,560 kufikia 1 April 2020.
View attachment 1456833
Bendera ya Jamhuri ya Nicaragua
Mji mkuu wa taifa hili ni Managua mji wenye kuhodhi shughuli za kiserikali, miji mingine iliyoendelea ni León, Granada, Matagalpa, Puerto Cabezas na Rivas. Granada ni mji wa biashara na mji wenye historia ya enzi za ukoloni wa Uhispania.
Lugha rasmi ya Nicaragua ni Kihispaniora, pesa rasmi ikiwa Nicaragua Córdoba / Gold Córdoba (NIO), Córdoba 1 ni sawa na Centavos 100.
Wito wa taifa hili (Motto) ni "En dios Confiamos" | "Tunaamini katika Mungu". Raia wa Nicaragua unaweza kumuita Nicoya, Nica au Pinolero.
View attachment 1456850
Mji wa Managua
Nicaragua imepakana na Honduras kaskazini magharibi, Caribbean upande wa mashariki, Costa Rica upande wa kusini na bahari ya Pacific upande wa kusini magharibi.
View attachment 1456906
Plaza de la Revolución
| Biashara, Uchumi, Maendeleo na Uwekezaji. Taifa hili linatambulika kama taifa maskini nyuma ya Haiti ndani ya Amerika ya Kati. Shughuli kuu za kiuchumi ni kilimo, biashara na utalii.
View attachment 1456963
Cologne City, Granada
Shughuli za Kilimo na biashara hasa ya kahawa, nyama, sukari, karanga, mpira, pamba, dhahabu, tumbaku, vitambaa na malighafi za kuvalisha nyaya za vyombo vya moto zimekuwa zikisafirishwa nje kuelekea Marekani kwa asilimia 44.2%, El Salvador 6.4%, Venezuela 5.5% na Costa Rica 5.5%.
Kampuni za Nestlé na Starbucks zimekuwa chachu ya uchumi wa Nicaragua kutokana na kufuata kahawa moja kwa moja.
View attachment 1456890
Karanga ya Nicaragua
Utalii ni moja ya sekta muhimu kwa taifa hili, utalii unachagizwa na uwepo wa milima ya volcano, miji ya kale, pwani na fukwe maridhawa, milima na maziwa yenye maji safi na tulivu. Maeneo makuu ya utalii ni Visiwa vya Corn, Masaya, Volcano Islet's of Granada, Mombacho, Momotombo Volcano, Ziwa Nicaragua na Managua.
Ziwa Nicaragua ni ziwa pekee lenye maji safi na tulivu (Fresh water lake) kuwa na papa ndani yake.
View attachment 1456901
Otto Beach - Kisiwa kidogo cha Corn
Sehemu nyingine za kitalii ni León Viejo mji mkongwe ndani ya Amerika ya Kati. Uwapo Nicaragua utaweza kushuhudia nyota nyingi zaidi kuliko sehemu yeyote ile duniani.
View attachment 1456961
Granada Grand Colón
| Elimu ndani ya Nicaragua ni bure! Kwa shule za awali, msingi na secondary huku elimu ya juu ikitolewa mikopo na bodi maalumu. Elimu ndani ya Nicaragua ina sheria na taratibu zake, elimu ya awali na msingi sio lazima kwa mwanafunzi kuvaa sare za shule, huku elimu ya upili (Sekondari) ikiwa lazima kuvaa sare za shule.
View attachment 1456962
Palacio Nacional
Elimu ya juu inatolewa baada ya wanafunzi kuhitimu shule ya upili, mfano wa vyuo bora vinatoa elimu inayolenga zaidi elektroniki, mifumo ya tarakirishi, sayansi, sanaa, uchumi, sheria na kilimo ni Central American University (UCA), Central University of Nicaragua, Universidad Internacional de Agricultura na Universidad de la Integración de América Latina (UNIVAL).
| Burudani, Sanaa, Michezo na Habari. Taifa hili linavituo vya Radio na Runinga zaidi ya 100 (Vituo vya runinga vikisambazwa kwa mfumo wa Cable-TV). Nicaragua inayo magezeti yafuatayo La Prensa, El Nueva Diario, Confidencial na gazeti la mtandao The Nicaragua Dispatch.
Ndani ya Nicaragua mchezo maarufu ni baseball, ndondi na mpira wa miguu. Katika mchezo wa boxing Nicaragua ilitambulishwa vyema na Alexis Argüello aliyempiga bondia Max Hess wa Ujerumani kwa Knockout hali inayopelekea Mjerumani huyo kutolewa na gari ya dharura ukimbini.
View attachment 1456964
Granada Castia VI
Muziki ndani ya Nicaragua ni suala la kitaifa huku ikiwepo dansi ya Nicaragua - Palo de Mayo inayochezwa na kila rika. Aina nyingine ya muziki ni salsa, bachata, merengue, cumbia na mziki wa asili unaochakatwa kwa kutumia marimba.
Nicaragua ni nyumbani kwa waandishi nguli Sergio Ramirez, Gíoconda Belli na Claribel Alegría.
Hii ndio Jamhuri ya Nicaragua 🇳🇮
Nakala: Rubawa mtu chake Bwanautam Farolito
Kumbe mazingira km ya TZ & condusive kwa mtu mweusi kabisa.Nicaragua inategemea utalii, naweza kusema ni eneo la utalii. Raia wa mataifa ya Marekani, Uhispania, Uholanzi, Ureno, Poland na Brasil ndio wengi wanaofika Nicaragua na kupokelewa vizuri.
Tamaduni ni zenye mlengo wa Latin, Africa kiasi na Magharibi, kwa ufupi ni tamaduni za kidunia. Chakula pendwa ni wali na maharage, makande na juice yenye mchanganyiko wa matunda mbalimbali.
Amerika ya Kaskazini,Nijua Nicaragua ipo marekani ya kusini.Ila kuna visa vingapi vya covid hapo nicaragua?
Hakika,Kumbe mazingira km ya TZ & condusive kwa mtu mweusi kabisa.
Ila vp gharama za maisha?
Nicaragua asilimia 60 ya raia ni wana usalama.Pia inataka kuwa uwanja wa vita ya kijasusi kati ya marekani na urusi
Urusi wanataka kurudisha sphere of influence paleNicaragua asilimia 60 ya raia ni wana usalama.
| Jamhuri ya Nicaragua, Republic of Nicaragua au República de Nicaragua ni taifa linalopatikana Amerika ya Kaskazini. Nicaragua yenye ukubwa wa 129,494 Square Kilometers sawa na 49,998 Square Mile's ni nyumbani kwa watu wapatao takribani millioni 6,625,560 kufikia 1 April 2020.
View attachment 1456833
Bendera ya Jamhuri ya Nicaragua
Idadi ya watu ni ndogo sana hadi raha,lakin kwani liwe masikini
Mji mkuu wa taifa hili ni Managua mji wenye kuhodhi shughuli za kiserikali, miji mingine iliyoendelea ni León, Granada, Matagalpa, Puerto Cabezas na Rivas. Granada ni mji wa biashara na mji wenye historia ya enzi za ukoloni wa Uhispania.
Lugha rasmi ya Nicaragua ni Kihispaniora, pesa rasmi ikiwa Nicaragua Córdoba / Gold Córdoba (NIO), Córdoba 1 ni sawa na Centavos 100.
Wito wa taifa hili (Motto) ni "En dios Confiamos" | "Tunaamini katika Mungu". Raia wa Nicaragua unaweza kumuita Nicoya, Nica au Pinolero.
View attachment 1456850
Mji wa Managua
Nicaragua imepakana na Honduras kaskazini magharibi, Caribbean upande wa mashariki, Costa Rica upande wa kusini na bahari ya Pacific upande wa kusini magharibi.
View attachment 1456906
Plaza de la Revolución
| Biashara, Uchumi, Maendeleo na Uwekezaji. Taifa hili linatambulika kama taifa maskini nyuma ya Haiti ndani ya Amerika ya Kati. Shughuli kuu za kiuchumi ni kilimo, biashara na utalii.
View attachment 1456963
Cologne City, Granada
Shughuli za Kilimo na biashara hasa ya kahawa, nyama, sukari, karanga, mpira, pamba, dhahabu, tumbaku, vitambaa na malighafi za kuvalisha nyaya za vyombo vya moto zimekuwa zikisafirishwa nje kuelekea Marekani kwa asilimia 44.2%, El Salvador 6.4%, Venezuela 5.5% na Costa Rica 5.5%.
Kampuni za Nestlé na Starbucks zimekuwa chachu ya uchumi wa Nicaragua kutokana na kufuata kahawa moja kwa moja.
View attachment 1456890
Karanga ya Nicaragua
Utalii ni moja ya sekta muhimu kwa taifa hili, utalii unachagizwa na uwepo wa milima ya volcano, miji ya kale, pwani na fukwe maridhawa, milima na maziwa yenye maji safi na tulivu. Maeneo makuu ya utalii ni Visiwa vya Corn, Masaya, Volcano Islet's of Granada, Mombacho, Momotombo Volcano, Ziwa Nicaragua na Managua.
Ziwa Nicaragua ni ziwa pekee lenye maji safi na tulivu (Fresh water lake) kuwa na papa ndani yake.
View attachment 1456901
Otto Beach - Kisiwa kidogo cha Corn
Sehemu nyingine za kitalii ni León Viejo mji mkongwe ndani ya Amerika ya Kati. Uwapo Nicaragua utaweza kushuhudia nyota nyingi zaidi kuliko sehemu yeyote ile duniani.
View attachment 1456961
Granada Grand Colón
| Elimu ndani ya Nicaragua ni bure! Kwa shule za awali, msingi na secondary huku elimu ya juu ikitolewa mikopo na bodi maalumu. Elimu ndani ya Nicaragua ina sheria na taratibu zake, elimu ya awali na msingi sio lazima kwa mwanafunzi kuvaa sare za shule, huku elimu ya upili (Sekondari) ikiwa lazima kuvaa sare za shule.
View attachment 1456962
Palacio Nacional
Elimu ya juu inatolewa baada ya wanafunzi kuhitimu shule ya upili, mfano wa vyuo bora vinatoa elimu inayolenga zaidi elektroniki, mifumo ya tarakirishi, sayansi, sanaa, uchumi, sheria na kilimo ni Central American University (UCA), Central University of Nicaragua, Universidad Internacional de Agricultura na Universidad de la Integración de América Latina (UNIVAL).
| Burudani, Sanaa, Michezo na Habari. Taifa hili linavituo vya Radio na Runinga zaidi ya 100 (Vituo vya runinga vikisambazwa kwa mfumo wa Cable-TV). Nicaragua inayo magezeti yafuatayo La Prensa, El Nueva Diario, Confidencial na gazeti la mtandao The Nicaragua Dispatch.
Ndani ya Nicaragua mchezo maarufu ni baseball, ndondi na mpira wa miguu. Katika mchezo wa boxing Nicaragua ilitambulishwa vyema na Alexis Argüello aliyempiga bondia Max Hess wa Ujerumani kwa Knockout hali inayopelekea Mjerumani huyo kutolewa na gari ya dharura ukimbini.
View attachment 1456964
Granada Castia VI
Muziki ndani ya Nicaragua ni suala la kitaifa huku ikiwepo dansi ya Nicaragua - Palo de Mayo inayochezwa na kila rika. Aina nyingine ya muziki ni salsa, bachata, merengue, cumbia na mziki wa asili unaochakatwa kwa kutumia marimba.
Nicaragua ni nyumbani kwa waandishi nguli Sergio Ramirez, Gíoconda Belli na Claribel Alegría.
Hii ndio Jamhuri ya Nicaragua 🇳🇮
Nakala: Rubawa mtu chake Bwanautam Farolito
Inawazisha hiiNicaragua asilimia 60 ya raia ni wana usalama.
wacha nichange pesa zetu za madafu nihamie uko aiseeNimetamani kuishi huko wallah
Yaaan kaaaahwacha nichange pesa zetu za madafu nihamie uko aisee