Jamhuri ya Nicaragua | República de Nicaragua

Nice thread mkuu, ila vp kuhusu mapokezi yao kwa wageni + tradition zao?
Nicaragua inategemea utalii, naweza kusema ni eneo la utalii. Raia wa mataifa ya Marekani, Uhispania, Uholanzi, Ureno, Poland na Brasil ndio wengi wanaofika Nicaragua na kupokelewa vizuri.

Tamaduni ni zenye mlengo wa Latin, Africa kiasi na Magharibi, kwa ufupi ni tamaduni za kidunia. Chakula pendwa ni wali na maharage, makande na juice yenye mchanganyiko wa matunda mbalimbali.
 
Nijua Nicaragua ipo marekani ya kusini.Ila kuna visa vingapi vya covid hapo nicaragua?
 
Kumbe mazingira km ya TZ & condusive kwa mtu mweusi kabisa.

Ila vp gharama za maisha?
 
Kumbe mazingira km ya TZ & condusive kwa mtu mweusi kabisa.

Ila vp gharama za maisha?
Hakika,

Gharama naona sio kubwa sana, maana kwa mwezi ukiwa na Dollar 1,200 / 2.8 Millioni TZS utaweza kula, kuishi vizuri, kuvaa na kufanya utalii.

Hasa katika mji wa Granada.
 
 
Asante sana mwandishi kwa historia hii, nimepata kujifunza sana tamaduni na jografia ya huko nikaragua, jf moja ya kituo bora, sana ningepeda kupata historia. Ya nchi zingine, na kujua mto jografia ya amazoni na msitu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…