Jamhuri ya Panama | República de Panama

Jamhuri ya Panama | República de Panama

Kuna documentary inaitwa mega structure hapa wanaonyesha mirada mikubwa ya ujenzi duniani.

Niliona mradi wa ujenzi wa Panama Canal, hapa walitengeneza mkondo bahari ili kupata shortcut ya kuingia na kutoka marekani kwa karibia meli zote ndani ya Pacific Ocean.

Technology iliyotumika kwenye ujenzi ni kubwa sana.

Hizo documentaries zipo YouTube pia kwa anaetaka kuzitazama.
 
Hakika meli zote zinapita Panama Canal katika ghuba ya Panama na Mosquitos.

Panama Canal ilichongwa vyema na timu ya wahandisi kutoka jeshi la wanamaji la Marekani wakishirikiana na Panama.
 
Nchi zenye ushirika mkubwa na US zinakuaga zimechangamka kimaendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia naona US wanatumia 1 on 1 tactic. Tukupandishe kwanza then tunufaike au tunafaike then tukupandishe!

Panama Canal ilivyochongwa waliishikilia kwa takribani miaka 36+ huku wakijihusisha kuijenga Panama.
 
Nataka nitembee middle east yote nataka nijue kwanini middle east wanateseka na wakati wana utajiri wa mafuta wa kutupwa nchi nazotaka niende ni Syria, Badgad, Iraq, Iran, a Afghanistan yaani Afghanistani natakani mno niende nikatalii..
Safi, weka malengo na anza utekelezaji.

121.
 
Hakika meli zote zinapita Panama Canal katika ghuba ya Panama na Mosquitos.

Panama Canal ilichongwa vyema na timu ya wahandisi kutoka jeshi la wanamaji la Marekani wakishirikiana na Panama.
Hivi hata na suez canal nayo si ni man made ile ama ?!

Sent using My COVID-19
 
Nata nitembee middle east yote nataka nijue kwann middle east wanateseka nacwakati wana utajiri wa mafuta wa kutupwa nchi nazotaka niende ni Syria,Badgad,iraq,iran,a Afghanistan yani Afghanistani natakani mno niebde nikatalii..

121.
Vizuri, nitajaribu kufanya virtual tour tuifahamu vizuri.
 
Nata nitembee middle east yote nataka nijue kwann middle east wanateseka nacwakati wana utajiri wa mafuta wa kutupwa nchi nazotaka niende ni Syria,Badgad,iraq,iran,a Afghanistan yani Afghanistani natakani mno niebde nikatalii..

121.
Mungu akujaalie ufike mkuu nna imani kubwa sana kama utajaaliwa kufika huko kunakitu flani hv katika maisha yako utakiongeza

Ila ishu inakuja nikwamba katika sehem nyingi ulizo ama unazozitamani hapo kuzitembelea halu yake yakiusalama sio yakuridhisha saaaaana......

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom