Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Una uhakika na hayo ya Russia na China ?Hv Kenya si ilishapataga Vita kwenye kipindi cha uchaguzi,
Demokrasia itasaidia nn , kumtoa mwanachi kwenye umaskini zaidi ya makelele tu
Russia na China hazina iyo demokrasia Ila kiuchumi ziko vizuri
Aminawakenya waliaamka na wakashuhudia umwagaji wa damu kweny kutafuta haki.
Ipo Siku watanzania watachokaaa ,na ndo itakuwa mwisho wa CCM
Unataka tuanze story za Russia na China?Una uhakika na hayo ya Russia na China ?
jibu ndio au hapanaUnataka tuanze story za Russia na China?
Jibu la mpumbav ni ukimyajibu ndio au hapana
Akili za matopeni ndani ndani.Hv Kenya si ilishapataga Vita kwenye kipindi cha uchaguzi...
Hao uliowataja wananchi wake wana furaha gani?
[emoji38][emoji38][emoji38]Akili za matopeni ndani ndani.
Hao uliowataja wananchi wake wana furaha gani?
Furaha haitokani na vitu ulivyo navyo bali uhuru wa kujiamulia.
Yani umwage damu ili mwingine awe Rais? Ni kichaa ndo anaweza fanyawakenya waliaamka na wakashuhudia umwagaji wa damu kweny kutafuta haki.
Ipo Siku watanzania watachokaaa ,na ndo itakuwa mwisho wa Fisiemu
Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
Kwani Kenya wanakula demokrasia?Akili za matopeni ndani ndani.
Hao uliowataja wananchi wake wana furaha gani?
Furaha haitokani na vitu ulivyo navyo bali uhuru wa kujiamulia.
Hv Kenya si ilishapataga Vita kwenye kipindi cha uchaguzi,
Demokrasia itasaidia nn , kumtoa mwanachi kwenye umaskini zaidi ya makelele tu
Russia na China hazina iyo demokrasia Ila kiuchumi ziko vizuri
Kenyan wanafuraha kuliko Russian?
Mwananchi ali Demokrasia.
Demokrasia inawanufaisha wanasiasa wachache tu
Aliyeharibu Uchaguzi wa 2020 ni Magufuli na tayari alikwishapata anachostahili. Mungu hakumuacha na amani kwa siku zote 114 kuanzia Oktoba 25, 2020 hadi Machi 17, 2021.Kwa mfano kwenye kampeni za Uchaguzi wa Tanzania wa 2020 , mabango ya barabarani yaliyoruhusiwa kubandikwa hata maeneo yasiyoruhusiwa , yalikuwa yale ya Mgombea Urais wa ccm tu...