joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwahiyo Demokrasia kwenu maana yake inaishia katika uchaguzi tu, vipi kuhusu kabila tatu pekee kuwa na haki ya kuongoza nchi?, vipi kuhusu 75% ya ajira serikalini kuchukuliwa na kabilaba mbili pekee, vipi kuhusu ardhi kumilikiwa na familia za wanasiasa?. UN inasema Tanzania imeipita Kenya ktk Demokrasia, wewe na UN nani zaidi?Kwa mfano kwenye kampeni za Uchaguzi wa Tanzania wa 2020 , mabango ya barabarani yaliyoruhusiwa kubandikwa hata maeneo yasiyoruhusiwa , yalikuwa yale ya Mgombea Urais wa CCM tu.
Waliojaribu kubandika mabango ya Mgombea wa Chadema walikiona cha moto na zipo taarifa kwamba wako wengine wamepotea hadi leo hawajulikani walipo .
LAKINI KWA KENYA HALI NI TOFAUTI SANA , kila mgombea wa Urais ana haki sawa kabisa .
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya
View attachment 2277006
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app