Uchaguzi hii mtajuta. Ngoja mmchague ruto muone kilele za madharau au makamu wa raisi awe martha karua muone sura yake halisi.Kwa mfano kwenye kampeni za Uchaguzi wa Tanzania wa 2020 , mabango ya barabarani yaliyoruhusiwa kubandikwa hata maeneo yasiyoruhusiwa , yalikuwa yale ya Mgombea Urais wa CCM tu.
Waliojaribu kubandika mabango ya Mgombea wa Chadema walikiona cha moto na zipo taarifa kwamba wako wengine wamepotea hadi leo hawajulikani walipo .
LAKINI KWA KENYA HALI NI TOFAUTI SANA , kila mgombea wa Urais ana haki sawa kabisa .
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya
View attachment 2277006
Yani umwage damu ili mwingine awe Rais? Ni kichaa ndo anaweza fanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeharibu Uchaguzi wa 2020 ni Magufuli na tayari alikwishapata anachostahili. Mungu hakumuacha na amani kwa siku zote 114 kuanzia Oktoba 25, 2020 hadi Machi 17, 2021.
Siku zote alikuwa mtu wa kujikuna ngozi, kuishi kwenye mashine ya kupumulia, kutembea na catheter mkononi, kuropoka ovyo na kutukana. Na mwishowe maiti yake ikatembezwa barabarani mikoa 5 huku ikinuka
Kwahiyo Demokrasia kwenu maana yake inaishia katika uchaguzi tu, vipi kuhusu kabila tatu pekee kuwa na haki ya kuongoza nchi?, vipi kuhusu 75% ya ajira serikalini kuchukuliwa na kabilaba mbili pekee, vipi kuhusu ardhi kumilikiwa na familia za wanasiasa?. UN inasema Tanzania imeipita Kenya ktk Demokrasia, wewe na UN nani zaidi?
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Uhuru gani wa kujiamulia upo Kenya?, Kama ubaguzi wa ajira serikalini unawatenga wakenya walio wengi?, Mbona tume iliyoundwa kuchunguza dhuluma katika kumiliki ardhi ilishauri kurudisha ardhi yote walijimilikisha wanasiasa kurudishwa serikalini ili igawiwe kwa wananchi lakini imeshindikana, huo uhuru wa kujiamulia ni upi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Je unaweza kuwa Jobless , alafu ukawa na furaha?
Russia ajira nje nje kwa wazaliwa
Gadaffi alikuwa Dikteta Ila nchi ikawa Ina maendeleo.
Vyama vya upinzani wanaotaka demokrasia kwa mgongo mabeberu walipoweza kuipata hio demokrasia hakuna maendeleo tena huko Libya
Siyo kweli hata kenya kuna kaupendeleo kwa wagombea hawa wawili tu. Hata vijiwe vya kubashiri mshindi (kama akina redet) wanawataja hawa wawili tu, wagombea wengine kama profesa bangi (wajackoyah) hawatajwi.
Wewe Acha ujinga, ilikuwa ukabila sio kutafta hdaki.
Haki ipi wewe kila matokeo ya kitoka utasikia vilio kura zimeibiwa, wewe una sahau haraka uchaguzi uliopita huyu Odinda aliapishwa kuwa rais wa watu akijitangazia ushindi, huku Kenyatta akiwa rais wa dola akitangazwa na tume ya uchaguzi , acha uvivu wewe
Mtu ana vunja katiba wewe unaita demokrasia? unajitangazia Urais kisha una jiapisha wakati mamlaka hayo ni ya tume ya uchaguzi, huu upuuzi hauwezi kuwa demokrasia, lazima ushughulikiwe ufundishwe katiba ndio muongozoHiyo ndio demokrasia Sasa unajitangaza Rais, na bado unapeta uraiani. Sio huku Tanzania kuwa mfusi wa CHADEMA Ni kosa la jinai. Mikutano imepigwa marufuku miaka Saba Sasa kisa kuiua CHADEMA.
Huku Tanzania watu wanaiogopa CCM wakati Kenya Vyama vinne tofauti vimewahi kukamata serikali. KANU, NARC, PNU na Sasa Jubillee na Kuna uwezekano kingine kikaongezeka Azimio au UDA Kenya kwanza.
Demokrasia inadhihirisha kwa kubadilisha vyama madarakani.
Demokrasia na usawa upo sasa mnauana kutafuta haki ipi? ndio maana ni kasema hakuna cha maana Kenya , ndio maana kila uchaguzi utasikia kura zimeibiwa, hata huu wa mwaka huu lazima Ruto au Odinga alie hadharani kuibiwa kuraUwe mwelewa Yale mapigano chanzo kIlikuwa kutafuta haki baada ya uchaguzi wa 2007 kuibiwa. ODM na PNU. Bila vile serikali ya Umoja wa kitaifa isingekuwepo. Mapigano Yale msingi wake ulikuwa uchaguzi. Kalenjin ODM Ruto v Kikuyu PNU Kibaki na Uhuru
Alikupa ujauzito akakutaa?[emoji817] magufooli alikua shetani aki ya nani
Walichinjana kisa mtu wa kabila lake atawaleWakenya mlimwaga damu sio sababu ya demokrasia bali ukabila uliwatawala..
Tanzania itakuwangumu kumwaga damu sababu ya demokrasia maana tunatabia ya kupotezea mambo.
We don't care.
Pili hatuana siasa za kikabila.
🖕Taa ya demokrasia ushuzi.....shenz!