comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Pamekuwa na porojo za vita ya kuondoa umaskini hii ikamaanisha pia kuondoa maskini katika jamii. Lakini kwa uhalisia dunia haitakalika kama umaskini utaondolewa na maskini kutokweka sawia. Bila maskini:-
1. Kazi za mazingira magungu wanazozifanya zitakisa watu wa kuzifanya
2. Wanataaluma kama polisi na watu wa ustawi wajamii watakosa ajira
3. Wanasiasa na wanaharakati watakosa ajenda
4. Uendeshaji wa makampuni utakuwa ghari sana kwa sababu watu wa kuwalipa au kuwapunja hawatakuwepo
5. Watakoseakana watu kutumika kama kisinginzio cha ama kufanya au kushindwa kufanya jambo. Kwa mfano hapa Tanzania utasaikia wanasiasa wa upinzani wanasema CCM inawashida kwa sababu mtaji wake ni watu maskini.