Jamii forums ibadilishwe jina iwe TANZANIA FORUMS

Jamii forums ibadilishwe jina iwe TANZANIA FORUMS

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Tunaelekea mwisho wa mwaka ili tuingie mwaka mpya

Mimi hapa sijaja kupiga porojo lengo langu ni moja tu nauomba uongoz wa jf ubadilishe jina la jf kutoka juwa jf na kuwa tf

Yaan kutoka JAMII FORUMS IWE TANZANIA FORUM

Je ushawah kujiuliza kwanini watu weng hawaijui jf? ni kwasababu ya jina hili jina ni baya sana na halina hadh na halijaa kaa kimtandao unaotumiwa na washusha nondo za uhakika

Jamii forum unaokena kama mtandao wa wahun kulingan na jina limekaa kihun hun sana

Ni vigumu sana kwa mtu wa nje kuingia jamii forum kwa sababu ya jina

Lakin ni rahis sana kwa mtu wa nje kufuatilia TANZANIA FORUM, hata kama ni mtu anapita pita mtandaon ni rahis sana kufutilia jina linaloitwa Tanzania forum kuliko jamii forum

Uchawi ni akili yako mwenyewe hapa tumejiroga wenyewe ndo maana jamii forum haijulikan
Pitaa kitaan ulizia kama kuna watu wanatumia jamii forum? Hautawapata kwa sababu jina limekaa kisela sela sana yaan jina halija kaa kimtandao

Ni hayo tu jamii forum ibadilishwe jina ili uwe mtandao wa nchi nzima na watu wote waujue. Mtandao wetu unazidiwa umarufu na blog ya malunde na milard ayo

LONDON BABY
 
ANZISHA YA KWAKO UITE JINA HILO.TUPO WENGI AU KWASABABU WASUKUMA HAMPO WENGI NA KATI WAHUNI AMBAO NASHANGAA SIJUI UMEJUAJE HUU MTANDAO WETU WA KIJANJA NI WEWE.WEWE ULITAKIWA UBAKI INSTAGRAM,FB NA MAGAZETI YA UDAKU NA MAGROUP YA WHATZUP YA WAGANGA WA KIENYEJI
Aman iwe nanyi wapendwa

Tunaelekea mwisho wa mwaka ili tuingie mwaka mpya

Mimi hapa sijaja kupiga porojo lengo langu ni moja tu nauomba uongoz wa jf ubadilishe jina la jf kutoka juwa jf na kuwa tf

Yaan kutoka JAMII FORUMS IWE TANZANIA FORUM

Je ushawah kujiuliza kwanini watu weng hawaijui jf? ni kwasababu ya jina hili jina ni baya sana na halina hadh na halijaa kaa kimtandao unaotumiwa na washusha nondo za uhakika

Jamii forum unaokena kama mtandao wa wahun kulingan na jina limekaa kihun hun sana

Ni vigumu sana kwa mtu wa nje kuingia jamii forum kwa sababu ya jina

Lakin ni rahis sana kwa mtu wa nje kufuatilia TANZANIA FORUM, hata kama ni mtu anapita pita mtandaon ni rahis sana kufutilia jina linaloitwa Tanzania forum kuliko jamii forum

Uchawi ni akili yako mwenyewe hapa tumejiroga wenyewe ndo maana jamii forum haijulikan
Pitaa kitaan ulizia kama kuna watu wanatumia jamii forum? Hautawapata kwa sababu jina limekaa kisela sela sana yaan jina halija kaa kimtandao

Ni hayo tu jamii forum ibadilishwe jina ili uwe mtandao wa nchi nzima na watu wote waujue. Mtandao wetu unazidiwa umarufu na blog ya malunde na milard ayo

LONDON BABY
 
Ofcoz ,uchaguzi Wa jina napo nikitu chakuzingatia saan...hapo nakuunga.

!
!
!
I
SEMA hata akiita KUJUANA FORUM BADO ITAHIT.
 
Jina si tatizo!Tuombe mabadiliko kwenye "content"..Mijadala ya kitoto itolewe ili JF ilete heshima.. Fake news pia zisipewe nafasi, mtu atakayeleta habari ya uongo apigwe ban ya maisha
 
Naongezea ban ipigwe ban ili tuanze mwaka vizur
 
Kajifunze kitu kinaitwa search engine optimization ndiyo utajua kama hoja zako zina mashiko au umeamua tu kuandika
 
Imebidi niangalie profile yako kwanza kabla sija-comment,dogo acha dharau hili jukwaa limekuwepo na kwa jina hili hili muda mrefu na hapa mlikuwa na watu vichwa hasa ila wame-pause kushusha nondo humu baada ya jukwaa kuvamiwa na tutoto twa 2000's{nahisi na wewe upo}.JamiiForums ni jina zuri kwanza kwa kiasi fulani linakitangaza kiswahili acha libaki hivi hivi kama lilivyo.
 
Kusema Jamii Forums imekaa kihuni huni hapo nadhan umepotoka. Ila wazo la kuita Tanzania Forums ina make sense lakini kusema Jamii Forums imekaa kihuni, nasema no. Jamii ni neno pana,na haliwez kuwa ni jina linaloashiria uhuni.
 
Wewe ni aina ya kizazi kipya kilichovamia na kinachoharibu hadhi na dhana ya "Fikra pevu" ambayo imekuwa kauli mbiu ya JF tangu kuanzishwa kwake...
 
Back
Top Bottom