Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 712
- 1,642
Samahani kusema ila truth be said hawa jamaa hawana akili hata punje, imagine watu wanategemea maji, umeme, mafuta, chakula kutoka Israel na wako kwenye mazungumzo ya amani ila yanakurupuka na kurusha vijibaruti vyao dhidi ya hao hao Israel.
And yes "vijibaruti" hivi ukilinganisha makombora ya Israel ambayo ni some of the best in the world dhidi ya hawa wanamgambo wasio hata na viatu na usafiri wao ni Toyota pick up si ni vijibaruti ?!
Sasa wameanza kuonjeshwa dawa tayari wameanza kulalama kila kona, unajiuliza wakati wanarusha vibarati vyao walikua wanawaza nini ?! Alafu walivyo wanafiki hakuna ndugu zao waliojitokeza kuwasaidia utawasikia kinafiki ooh "muslim brotherhood" wote kimyaaa na wengine wamewafungia kabisa mipaka hawataka wakimbizi. Ubrotherhood gani wa bipumbavu namna hiyo. Wakimbizi wao wanakimbilia kwa "makafiri"