SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

Stories of Change - 2022 Competition

Zulpha Ally

New Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha.

Serikali imewaruhusu watoto hawa warudi shule lakini je watoto wao watalelewa na nani Mana happy tayari jamii imeshaona hawafai na je Kweli mama zao watasoma wakamilishe ndoto zao. Kuna umuhimu wa jamii zetu kuelimisha jamii kwamba mtoto wa kike kupata ujauzito shuleni sio kwamba hataweza kuzitimiza ndoto zake anaweza tena anauwezo wa kufanya vizuri zaidi.

Cha msingi ni hizi jamii zetu kutowadharau hawa watoto na kuwasapoti kwa kitu ambacho wana uwezo wa kukifanya Mfano ni kuwasaidia katika malezi ya watoto wao pale anapoamua kujiendeleza kielimu
 
Upvote 0
Back
Top Bottom