Jamii ipo hatarini, muziki wetu unatumaliza

Impimpi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2019
Posts
466
Reaction score
964
Ukitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.

Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki.

Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga mitandaoni na mitaani lakini kwakweli kuna kundi kubwa LA watoto wadogo litatengenezwa kama mashoga kupitia hii miziki yetu in next fifteen years kama hii Hali isipobadilika.

Hipo hivi
Kipindi bongo fleva inaanza ilileta athari kubwa ya vijana kujitumbukiza kwenye matumizi ya bangi kutokana na pengine kusifiwa na wasanii kwenye nyimbo zao.

Sasa hivi
Kinachokuwa portrayed na wasaanii ni maumbile makubwa ya nyuma ya kike hata ya kiume kwa kusifia na hata kuthubutu kuyatungia mistari ya kudhalilisha Dada zetu.Imagine msanii anataka msambwanda kwa buku jero ..hii INA maana gani?

Nina wasiwasi Mkubwa kuwa hawa wasanii wanayafanya haya wanayoyaimba kabisa.

Basi watuachie watoto wetu wao wayafanye tu.

Maneno kuzibua mtaro yamekuwa kawaida sana kwenye nyimbo.Hakika hawa wasanii nimashetani kabisa
 
Kuna wale wanaojiita sijui Wachafu ukisikiza nyimbo zao kwa asilimia kubwa wanaimba matusi.

Huwa wanajifanya kuficha ficha na lugha zao za mtaani ila hayo maneno ukiyanyumbulisha hayafai kabisa mbele ya jamii.
 
Wacha waangamie tu maana video za hiphop si hamzi support mnataka kujenga vizazi vya wabana hips na kuvaa minyonyo kama ma Shawty! After 20 years nchi itakuwa na mashoga wengi mno kuliko tunavyofikiria.

Nyimbo za Nikki Mbishi, show zikipangwa hamuendi album hamnunui. Ila Tetema mnajazana ukumbini mpaka tiketi zinaisha eneo linakuwa out of capacity. Badilikeni nyie kwa kuzikataa nyimbo za hovyo.
 
Kuna wale wanaojiita sijui Wachafu ukisikiza nyimbo zao kwa asilimia kubwa wanaimba matusi.

Huwa wanajifanya kuficha ficha na lugha zao za mtaani ila hayo maneno ukiyanyumbulisha hayafai kabisa mbele ya jamii.
nilikuwa sizingatii maneno na lugha za nyimbo hizo siku nyingi ila juzi nikazingatia kidogo nyimbo kama mbili sijui hata walioimba ni kaona sio mapenzi bali ni PORNO.
 
Kuna wale wanaojiita sijui Wachafu ukisikiza nyimbo zao kwa asilimia kubwa wanaimba matusi.

Huwa wanajifanya kuficha ficha na lugha zao za mtaani ila hayo maneno ukiyanyumbulisha hayafai kabisa mbele ya jamii.
Wenyewe wanajiona hit-maker wapuuzi sana wale
Kwao wimbo bila matusi haujakamilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King wao wa matusi ya nguoni kipindi hiki kwenye mziki ni "almas". Matusi hayo yameniondolea ushabiki wa miziki yake, kuichukia na kuifuta kabisa nyumbani kwangu, marufuku kusikia hiyo takataka.

Sa sijui wanaowashabikia wanakuwa hawang'amui hizo matusi au ndio bendera fuata upepo yaani upepo unakoelekea na wao ndio huko huko wanaelekea.
 
Wenyewe wanajiona hit-maker wapuuzi sana wale
Kwao wimbo bila matusi haujakamilika

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni jinsi wanavyopokelewa kama mtu anatoa wimbo wa namna hiyo na ndani ya muda mfupi na ana viewers kibao na wote wanasifia wimbo uko poa unadhani watafanya nini Mkuu cha zaidi ndio wanachonga mizinga kwa kutoa nyumbo zenye maudhui hayo hayo sababu wanajua ndizo zinazopokelewa kwa kasi ya ajabu.
 
Sa sijui wanaowashabikia wanakuwa hawang'amui hizo matusi au ndio bendera fuata upepo yaani upepo unakoelekea na wao ndio huko huko wanaelekea.
Nilikuwa nafuata na kufurahia "beats", kwa mfano wimbo wa "nyegezi" una beats bomba sana, sasa nilivyokuja kurekodi na kusikiliza maudhui nimetulia ndiyo nikagundua mitusi iliyosheheni humo!

Tena nilikuwa nimerekodi miziki yake mipya kama 10 hivi!

Wallah ilinitia ghadhabu na kuifuta yote.

Sasa sielewi wanaoshabikia hayo matusi ya wazi kwa kisingizio cha mziki kama wanajitambua kiasi gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda huenda ikawa tafsiri ya zile maneno za ndani kwao iko tofauti Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…