Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
"Paka mate nteleze"Wazee mtateseka sana hii miaka! Kwanini msitulie tu mle mafao yenu. Kila kitu na wakati. Punguzeni uoga wazee wetu, Tasnia inakwenda vyema kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Paka mate nteleze"Wazee mtateseka sana hii miaka! Kwanini msitulie tu mle mafao yenu. Kila kitu na wakati. Punguzeni uoga wazee wetu, Tasnia inakwenda vyema kabisa.
"Paka mate nteleze"
Si unasema tupo on de raiti traki kwa vile unatupia kwenye blog inakuletea viewers.😀😁😁 maiki au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Kuna ile ya dully Sykes/harmonizer Inde..... " Ee baby nipe Bila kipimo..yangu sio mbilikimo, nikumwagilizie wino..."Porno-music references - ninogeshe nandy,kadamshi dully sykes,ntade ruby,katka navy kenzo walianza hivi kina mb dog si ulinambia ?,ikaja nenda kamwambie naona saiv wamefka kitandani kabsa cjui utunzi wa baadae utakuwa vp?
Mliomlilia Ruge tubuni na muanze kuwalilia watoto wenu, Ruge kakimaliza kizazi chenu na ipo siku mtajua shetani hana rafikiUkitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.
Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki.
Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga mitandaoni na mitaani lakini kwakweli kuna kundi kubwa LA watoto wadogo litatengenezwa kama mashoga kupitia hii miziki yetu in next fifteen years kama hii Hali isipobadilika.
Hipo hivi
Kipindi bongo fleva inaanza ilileta athari kubwa ya vijana kujitumbukiza kwenye matumizi ya bangi kutokana na pengine kusifiwa na wasanii kwenye nyimbo zao.
Sasa hivi
Kinachokuwa portrayed na wasaanii ni maumbile makubwa ya nyuma ya kike hata ya kiume kwa kusifia na hata kuthubutu kuyatungia mistari ya kudhalilisha Dada zetu.Imagine msanii anataka msambwanda kwa buku jero ..hii INA maana gani?
Nina wasiwasi Mkubwa kuwa hawa wasanii wanayafanya haya wanayoyaimba kabisa.
Basi watuachie watoto wetu wao wayafanye tu.
Maneno kuzibua mtaro yamekuwa kawaida sana kwenye nyimbo.Hakika hawa wasanii nimashetani kabisa
Hakika naunga mkono hojahakuna nyimbo za mapenzi bali ni pornographic musics in the name of bongo fleva.
Wao wanacho furahia ni midundo na melody tu basi.Sa sijui wanaowashabikia wanakuwa hawang'amui hizo matusi au ndio bendera fuata upepo yaani upepo unakoelekea na wao ndio huko huko wanaelekea.
Bila kumsahau Eve,LL Cool J hakika wewe ni mtu wa Old Skool. Salute kwako!!Public enemy, Dr Dre , heavy D & Boyz, big daddy Kane , naughty by nature, kriss Kross, miss Eliott, Colioo, onyx , etc
Watajiju! Nazani Basata wapo Vijana wa 90 na 2000. Wimbo: Nalegea nalegea, Yako na yangu Ikikutana nalegea! Du mtoto wako wa 12 anaimba home akikosha vyombo utajisikiaje?Ukitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.
Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki.
Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga mitandaoni na mitaani lakini kwakweli kuna kundi kubwa LA watoto wadogo litatengenezwa kama mashoga kupitia hii miziki yetu in next fifteen years kama hii Hali isipobadilika.
Hipo hivi
Kipindi bongo fleva inaanza ilileta athari kubwa ya vijana kujitumbukiza kwenye matumizi ya bangi kutokana na pengine kusifiwa na wasanii kwenye nyimbo zao.
Sasa hivi
Kinachokuwa portrayed na wasaanii ni maumbile makubwa ya nyuma ya kike hata ya kiume kwa kusifia na hata kuthubutu kuyatungia mistari ya kudhalilisha Dada zetu.Imagine msanii anataka msambwanda kwa buku jero ..hii INA maana gani?
Nina wasiwasi Mkubwa kuwa hawa wasanii wanayafanya haya wanayoyaimba kabisa.
Basi watuachie watoto wetu wao wayafanye tu.
Maneno kuzibua mtaro yamekuwa kawaida sana kwenye nyimbo.Hakika hawa wasanii nimashetani kabisa
Hivi akisema kuzibua mtaro unaelewa nini? Akisema msambwanda unaelewa nini? Kama inawezekana kawashitakiUkitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.