Jamii ipo hatarini, muziki wetu unatumaliza

Mkishajua kuwa HipHop ndio mziki mnitafute niwaletee mangoma ya kutoka 90's mpashe vichwa mpate knowledge.

"wabana pua kuimba mapenzi Je utafanya ukimwi usepe" fidQ
 
Porno-music references - ninogeshe nandy,kadamshi dully sykes,ntade ruby,katka navy kenzo walianza hivi kina mb dog si ulinambia ?,ikaja nenda kamwambie naona saiv wamefka kitandani kabsa cjui utunzi wa baadae utakuwa vp?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Kuna ile ya dully Sykes/harmonizer Inde..... " Ee baby nipe Bila kipimo..yangu sio mbilikimo, nikumwagilizie wino..."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Video zao ndiyo kabisa hazifai kutazama mara mbili, kati yao wapo wachache wanaojua wanachokifanya kwa makusudi yapi na malengo gani ila wengi wao huiga wakidhani ni fashion.

Hii ni project, watu wa Mungu tusipokuwa makini taifa letu litaangamia hasa vijana.
 
Ukitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.

Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki.

Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga mitandaoni na mitaani lakini kwakweli kuna kundi kubwa LA watoto wadogo litatengenezwa kama mashoga kupitia hii miziki yetu in next fifteen years kama hii Hali isipobadilika.

Hipo hivi
Kipindi bongo fleva inaanza ilileta athari kubwa ya vijana kujitumbukiza kwenye matumizi ya bangi kutokana na pengine kusifiwa na wasanii kwenye nyimbo zao.

Sasa hivi
Kinachokuwa portrayed na wasaanii ni maumbile makubwa ya nyuma ya kike hata ya kiume kwa kusifia na hata kuthubutu kuyatungia mistari ya kudhalilisha Dada zetu.Imagine msanii anataka msambwanda kwa buku jero ..hii INA maana gani?

Nina wasiwasi Mkubwa kuwa hawa wasanii wanayafanya haya wanayoyaimba kabisa.

Basi watuachie watoto wetu wao wayafanye tu.

Maneno kuzibua mtaro yamekuwa kawaida sana kwenye nyimbo.Hakika hawa wasanii nimashetani kabisa
Mliomlilia Ruge tubuni na muanze kuwalilia watoto wenu, Ruge kakimaliza kizazi chenu na ipo siku mtajua shetani hana rafiki
 
Public enemy, Dr Dre , heavy D & Boyz, big daddy Kane , naughty by nature, kriss Kross, miss Eliott, Colioo, onyx , etc
Bila kumsahau Eve,LL Cool J hakika wewe ni mtu wa Old Skool. Salute kwako!!
 
Ukitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.

Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki.

Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga mitandaoni na mitaani lakini kwakweli kuna kundi kubwa LA watoto wadogo litatengenezwa kama mashoga kupitia hii miziki yetu in next fifteen years kama hii Hali isipobadilika.

Hipo hivi
Kipindi bongo fleva inaanza ilileta athari kubwa ya vijana kujitumbukiza kwenye matumizi ya bangi kutokana na pengine kusifiwa na wasanii kwenye nyimbo zao.

Sasa hivi
Kinachokuwa portrayed na wasaanii ni maumbile makubwa ya nyuma ya kike hata ya kiume kwa kusifia na hata kuthubutu kuyatungia mistari ya kudhalilisha Dada zetu.Imagine msanii anataka msambwanda kwa buku jero ..hii INA maana gani?

Nina wasiwasi Mkubwa kuwa hawa wasanii wanayafanya haya wanayoyaimba kabisa.

Basi watuachie watoto wetu wao wayafanye tu.

Maneno kuzibua mtaro yamekuwa kawaida sana kwenye nyimbo.Hakika hawa wasanii nimashetani kabisa
Watajiju! Nazani Basata wapo Vijana wa 90 na 2000. Wimbo: Nalegea nalegea, Yako na yangu Ikikutana nalegea! Du mtoto wako wa 12 anaimba home akikosha vyombo utajisikiaje?
 
Ukitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.

Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki.

Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga mitandaoni na mitaani lakini kwakweli kuna kundi kubwa LA watoto wadogo litatengenezwa kama mashoga kupitia hii miziki yetu in next fifteen years kama hii Hali isipobadilika.

Hipo hivi
Kipindi bongo fleva inaanza ilileta athari kubwa ya vijana kujitumbukiza kwenye matumizi ya bangi kutokana na pengine kusifiwa na wasanii kwenye nyimbo zao.

Sasa hivi
Kinachokuwa portrayed na wasaanii ni maumbile makubwa ya nyuma ya kike hata ya kiume kwa kusifia na hata kuthubutu kuyatungia mistari ya kudhalilisha Dada zetu.Imagine msanii anataka msambwanda kwa buku jero ..hii INA maana gani?

Nina wasiwasi Mkubwa kuwa hawa wasanii wanayafanya haya wanayoyaimba kabisa.

Basi watuachie watoto wetu wao wayafanye tu.

Maneno kuzibua mtaro yamekuwa kawaida sana kwenye nyimbo.Hakika hawa wasanii nimashetani kabisa
Hivi akisema kuzibua mtaro unaelewa nini? Akisema msambwanda unaelewa nini? Kama inawezekana kawashitaki
 
Si mrudi kwenye rege tu??? Si mnaona kundi letu la Bob Marley tunavokula madude yetu? Hatuna habari na Nyegezi sijui ndo nini.
 
Back
Top Bottom