a45
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 1,389
- 1,485
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hip hop asili yake ni mziki wa kigumu. Support zipo kwa raia sema mnabana. Kwa mtazamo wako ulipenda waimbe hiphop commercial au!Tatizo wakina Nikki Mbishi wameshindwa kutengeneza hip hop itakayowafanya na watu wengine wawasikilize mfano wakina Mobb Deep Give it Up walifanikiwa, M.O.P Ante Up, Wu Tang Clan, DMX, Eminem ila bongo hip hop wanajitoa ufahamu
Mkuu mfano Got Urself ya Nas ile ni Hip Hop Commercial? Mimi napenda hip hop inayosikilizika au za wakina Jay Z, NAS, sio ngumu pureHip hop asili yake ni mziki wa kigumu. Support zipo kwa raia sema mnabana. Kwa mtazamo wako ulipenda waimbe hiphop commercial au!
Naanza kukupata, nadhani midundo ya Duke tachez haikubambi. Walau ile ya P.Funk labda ndio unaweza ielewaMkuu mfano Got Urself ya Nas ile ni Hip Hop Commercial? Mimi napenda hip hop inayosikilizika au za wakina Jay Z, NAS, sio ngumu pure
Hahahaha bonge la tafsiri.
Ukitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.
Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki.
Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga mitandaoni na mitaani lakini kwakweli kuna kundi kubwa LA watoto wadogo litatengenezwa kama mashoga kupitia hii miziki yetu in next fifteen years kama hii Hali isipobadilika.
Hipo hivi
Kipindi bongo fleva inaanza ilileta athari kubwa ya vijana kujitumbukiza kwenye matumizi ya bangi kutokana na pengine kusifiwa na wasanii kwenye nyimbo zao.
Sasa hivi
Kinachokuwa portrayed na wasaanii ni maumbile makubwa ya nyuma ya kike hata ya kiume kwa kusifia na hata kuthubutu kuyatungia mistari ya kudhalilisha Dada zetu.Imagine msanii anataka msambwanda kwa buku jero ..hii INA maana gani?
Nina wasiwasi Mkubwa kuwa hawa wasanii wanayafanya haya wanayoyaimba kabisa.
Basi watuachie watoto wetu wao wayafanye tu.
Maneno kuzibua mtaro yamekuwa kawaida sana kwenye nyimbo.Hakika hawa wasanii nimashetani kabisa
Sawasawa..Wacha waangamie tu maana video za hiphop si hamzi support mnataka kujenga vizazi vya wabana hips na kuvaa minyonyo kama ma Shawty! After 20 years nchi itakuwa na mashoga wengi mno kuliko tunavyofikiria.
Nyimbo za Nikki Mbishi, show zikipangwa hamuendi album hamnunui. Ila Tetema mnajazana ukumbini mpaka tiketi zinaisha eneo linakuwa out of capacity. Badilikeni nyie kwa kuzikataa nyimbo za hovyo.
Kuna wale wanaojiita sijui Wachafu ukisikiza nyimbo zao kwa asilimia kubwa wanaimba matusi.
Huwa wanajifanya kuficha ficha na lugha zao za mtaani ila hayo maneno ukiyanyumbulisha hayafai kabisa mbele ya jamii.
unasema vp wameshindwa kutengeneza hit wakt za matusi ndo mnaziona hit..?Tatizo wakina Nikki Mbishi wameshindwa kutengeneza hip hop itakayowafanya na watu wengine wawasikilize mfano wakina Mobb Deep Give it Up walifanikiwa, M.O.P Ante Up, Wu Tang Clan, DMX, Eminem ila bongo hip hop wanajitoa ufahamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaaaani Ni pornal ya kusikilza inayojenga video kichwaninilikuwa sizingatii maneno na lugha za nyimbo hizo siku nyingi ila juzi nikazingatia kidogo nyimbo kama mbili sijui hata walioimba ni kaona sio mapenzi bali ni PORNO.
Mkuu sijasema wameshindwa tengebeza hit bali nimesema wameshindwa kuendana na kazi ya kutoa nyimbo nzuri zenye maudhui kama nilizozitaja kwa wana hip hop wa USA..Mobb Deep, Nas, Jay Z, M.O.P etc..soma vizuri utanielewa...unasema vp wameshindwa kutengeneza hit wakt za matusi ndo mnaziona hit..?
so na wenywe wanze kuimba matusi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalegeaaaa ikutana yangu na yako.."Weka mate niteleze kama nyoka pangoni " "_msafi ..basata hili fumbo liliwashinda kutafsiri
Najishangaa siku hizi nimeshindwa kabisa kujua wasafi wanachoimba, mpaka nimejikuta automatically naanza kumshabikia nyanshisiki na kaligraph sijui nimepatia majina yao lakini naamini unawajua hawa wakenyaKama hampendi ngumu basi sikilizeni hata trap, kuna watu kama kina Moni Centrizone, OMG, Jay Mo, Gosby mbona nyimbo zipo kali tu. Ila kwakuwa masikio yenu yapo open kusikiliza mapenzi tu mda wote basi kumekuwa hamna balance. Media zinasupport mziki wa mapenzi zaidi na ndio wengi mnapenda kusikiliza basi msilalamike matusi yamezidi maana mahadhi ya hiphop hamyataki.