Ili kuiweka mikoa Katika Hali ya usafi ukatili unahitajika sana kwa wananchi kinyume na hapo tutaendelea kulalamika kuhusu uchafu Katika miji yetu na Shida kubwa ipo kwa viongozi wetu wamekuwa wanahubiri sana kuhusu usafi lakini wanahubiri kwa upole wakati sisi Watanzania hatuhitaji hvyo ,ninachoweza kusahauri ni kuwazaja mgambo wa Jiji na kuwatangazia wananchi faini husika na kusiwe na huruma kwenye hili.