Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Uzi wako upo poa sana,nitaufuatilia kwa undani zaidi,maana ukiwaza kwa undani zaidi hasa kuhusu ulimwengu na kilichomo humo ,hakika ukweli unanukia
 
Ww ni binadamu wa karne ya 21 kweli?
 
Nani kasema kuwa shetani ndiye aliyepandikiza uhai ndani yetu?
 
Huyo mungu wa kweli amejulikana kwako tangu lini? [emoji101]
 
Kwahiyo mkuu nikikwambia umwambie huyo mungu aje anifundishe kuhusu yeye atakuja?
 
Kwahiyo mkuu nikikwambia umwambie huyo mungu aje anifundishe kuhusu yeye atakuja?
Elimu kashakufundisha kabla hata ujazaliwa, yaani ukiwa bado hata hujageuzwa kua makamasi mazito elimu ipo tu!

Hata hivyo hakuna kitu utamfanya mungu hata usipojifunza uwepo wake, ispokua wewe ndio umtafte aliko ndo umsome, ujifunze na umuelewe, yeye hana time ya kuahangaika kukufundisha wewe mpaka uelewe.. (he gave u the ability to choose) sasa unaweza kuchagua kumjua au ukachagua kumsubiri aje akufundishe...

Nakushauri dada (labda kama wewe ni mwanaume) jitume wewe mwenyewe kwakushirikisha wanaojua kumtambua mungu b4 its too late, hasara ya kutokumjua mungu itakukuta wewe mwenyewe na nafsi yako!

Bye for now
 
Mkalibari said:
Elimu kashakufundisha kabla hata ujazaliwa, yaani ukiwa bado hata hujageuzwa kua makamasi mazito elimu ipo tu
Unawezaje kumfundisha mtu wakati hajazaliwa?

Unajua kazi ya ubongo ni nini?

Hata hivyo hakuna kitu utamfanya mungu hata usipojifunza uwepo wake, ispokua wewe ndio umtafte aliko ndo umsome, ujifunze na umuelewe,yeye hana time ya kuahangaika kukufundisha wewe
Hapo juu ulisema ameshamfundisha kabla hajazaliwa

Huku napo unasema hana mda wa kumfundisha

Why u contradict urself dude?

Na huyo Mungu unayemzungumzia wewe ni yupi?
 

Kwahiyo hawa wazazi wetu hawataki kujipambanua kwetu ili kutuondolea sintofahamu? Binafsi naona unajaribu ku-alter maandiko na kuweka tafsiri mpya ilhali umetumia kitabu kile kile. Nauhakika utawapata wengi sana na hii mada yako kwakuwa tayari tunaandaliwa kuamini kutokuwepo Mungu,hivyo theory kama hizi zinatuvuruga sana.
 
Sasa wewe acha kua kilaza si amekwambia kua Mungu ndo aliumba sa unabisha nn au ulokole wako unakuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…