Mi nashindwa kuelewa jambo moja! Je tunavyoomba huwa dua zetu zinapokelewa na nan?
Mfano mm miujiza ming huwa napokea endapo nitaomba kwa jna la yesu.
Mf nilijifungua mtoto ambaye nliambiwa ameshafariki, niliomba kwa sauti na kutoa nadhr kwa yesu kuwa akimpa uhai ntamlea ktk mising ya kumwabudu yey...hapo ghafla mtoto alianza kukohoa na akapata uhai,
Ni mengi tu yasiyowezekana kibinadamu yanawezekana kwang kupitia maombi
COZ NINA IMANI KALI SANA TOKA KUZALIWA KWANGU SIJAWAHI KANYAGA KWA MGANGA.
sasa kama hakuna mungu inakuaje dua zinapokelewa na kujibiwa ni nani yupo behind that?
Sent using
Jamii Forums mobile app