Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New age teachings.Hii elimu gani aisee
Hawa wenye umbo la mijusi wamepotelea wapi??JAMII 2 ZA VIUMBE WENYE AKILI ULIMWENGUNI-Wazazi wa kale wa ulimwengu mzima.
Mungu ni Roho. Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Akaumba mazingira yote yanayohitajika ili kuhifadhi uhai. Akaumba viumbe wote wanaohitajika ili kuleta uwiano wa kimazingira. Baada ya hapo, Mungu aliumba viumbe wenye akili wa aina mbili tofauti. Viumbe hao wenye akili wa aina mbili walikuwa ni HUMANOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la binadamu, na aina ya pili ni REPTOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la mijusi. Hao ndio Wazazi wa kale ulimwenguni pote . Kuumbwa kwa viumbe hai wenye akili ktk maumbo mawili tofauti ni kufuatia sheria inayotawala ulimwengu ya jozi (principle of pair). Kanuni hii huleta uwiano au Ukamilifu kwa kuweka vitu viwili kinyume. Ni kama ambavyo kuna kushoto na kulia, mashariki na magharibi, kusini na Kaskazini, nyuma na mbele, joto na baridi, nk.
Hizi jamii mbili za viumbe wenye akili walizidi kuenea ulimwenguni baada ya ujuzi wao kuongezeka na kuvumbua sayari mpya zenye kubeba uhai na wengine wao kuhamia katika sayari hizo. Sayari zingine zilionesha kuwa na tofauti ndogo ndogo za hali ya hewa, kama vile joto kuongezeka au baridi kuwa kali au kupungua kidogo. Hali hii ilisababisha viumbe hawa wa kale kuvumbua ujuzi wa cloning, ambao ni uwezo wa kubadili baadhi ya mifumo ya utendaji nje au ndani ya kiumbe hai ili kiweze kuwiana vizuri zaidi na mazingira mapya. Hali hii ya kurekebisha Jamii zao za Asili katika mifumo yenye uwiano na mazingira ya sayari mpya na kisha kuuhamishia uhai huo huko inajulikana kama Life seeding, yaani kupanda uhai huo huo ktk sayari mpya. Matokeo ya ujuzi huu ni kusambaa na kuenea kwa uhai ulimwenguni pote. Jamii hizo mbili zilisambaa ulimwenguni pote kwa mtindo huo,huku wakisambaa pia na uhai mwingine wote uliokuwamo katika sayari zao za awali. Kwa hiyo ulimwengu mzima ukajazwa na jamii hizo za aina mbili. Jamii ya Reptoids wakawa wengi kama vile, Ciakarians, Alpha draconians, Sirians,Sirius, Anunaki, Zeta Reticulians nk. Jamii za Humanoids nazo zikiwa ni kama, Andromedans, Antarians, Lyrans, Pleiades, Alpha Centaurians, Sagittarius, Vegans, Cassiopians, Cygnus Alphans Arcturians , na Terrans yaani binadamu . Ni ndani ya mfululizo huu alimozaliwa binadamu.
mkuu ulishawahi kuona movie imeigiza kitu kisichokuwepo? Jua kama waliigiza ina maana kipo kwenye jamii, sasa mbona mwishoni unasema kua hamna kitu kama hicho?wakuu musibishane sana haya anayoyaongelea mimi nimeona kwenye movies nyingi za kizungu ni kama catoons vile zipo movies nyingi zinaongelea haya ila uhalisia hakuna kitu kama hicho anachosema ni kama kufurahisha barza tu
Ni binadamu gani alikuwepo zamani akaona Dinosaur au Dragons?? Lakin mbona leo wanaigiza kuhusu hao wanyama na milio yao??mkuu ulishawahi kuona movie imeigiza kitu kisichokuwepo? Jua kama waliigiza ina maana kipo kwenye jamii, sasa mbona mwishoni unasema kua hamna kitu kama hicho?
KuhuhuiiJAMII 2 ZA VIUMBE WENYE AKILI ULIMWENGUNI-Wazazi wa kale wa ulimwengu mzima.
Mungu ni Roho. Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Akaumba mazingira yote yanayohitajika ili kuhifadhi uhai. Akaumba viumbe wote wanaohitajika ili kuleta uwiano wa kimazingira. Baada ya hapo, Mungu aliumba viumbe wenye akili wa aina mbili tofauti. Viumbe hao wenye akili wa aina mbili walikuwa ni HUMANOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la binadamu, na aina ya pili ni REPTOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la mijusi. Hao ndio Wazazi wa kale ulimwenguni pote . Kuumbwa kwa viumbe hai wenye akili ktk maumbo mawili tofauti ni kufuatia sheria inayotawala ulimwengu ya jozi (principle of pair). Kanuni hii huleta uwiano au Ukamilifu kwa kuweka vitu viwili kinyume. Ni kama ambavyo kuna kushoto na kulia, mashariki na magharibi, kusini na Kaskazini, nyuma na mbele, joto na baridi, nk.
Hizi jamii mbili za viumbe wenye akili walizidi kuenea ulimwenguni baada ya ujuzi wao kuongezeka na kuvumbua sayari mpya zenye kubeba uhai na wengine wao kuhamia katika sayari hizo. Sayari zingine zilionesha kuwa na tofauti ndogo ndogo za hali ya hewa, kama vile joto kuongezeka au baridi kuwa kali au kupungua kidogo. Hali hii ilisababisha viumbe hawa wa kale kuvumbua ujuzi wa cloning, ambao ni uwezo wa kubadili baadhi ya mifumo ya utendaji nje au ndani ya kiumbe hai ili kiweze kuwiana vizuri zaidi na mazingira mapya. Hali hii ya kurekebisha Jamii zao za Asili katika mifumo yenye uwiano na mazingira ya sayari mpya na kisha kuuhamishia uhai huo huko inajulikana kama Life seeding, yaani kupanda uhai huo huo ktk sayari mpya. Matokeo ya ujuzi huu ni kusambaa na kuenea kwa uhai ulimwenguni pote. Jamii hizo mbili zilisambaa ulimwenguni pote kwa mtindo huo,huku wakisambaa pia na uhai mwingine wote uliokuwamo katika sayari zao za awali. Kwa hiyo ulimwengu mzima ukajazwa na jamii hizo za aina mbili. Jamii ya Reptoids wakawa wengi kama vile, Ciakarians, Alpha draconians, Sirians,Sirius, Anunaki, Zeta Reticulians nk. Jamii za Humanoids nazo zikiwa ni kama, Andromedans, Antarians, Lyrans, Pleiades, Alpha Centaurians, Sagittarius, Vegans, Cassiopians, Cygnus Alphans Arcturians , na Terrans yaani binadamu . Ni ndani ya mfululizo huu alimozaliwa binadamu.
Mi nashindwa kuelewa jambo moja! Je tunavyoomba huwa dua zetu zinapokelewa na nan?JAMII 2 ZA VIUMBE WENYE AKILI ULIMWENGUNI-Wazazi wa kale wa ulimwengu mzima.