Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

2 Timotheo 4:2-4
[2]lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
[3]Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
[4]nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
 
Hivi hii story Hollywood wanayo kweli?....maana wangeteneza bonge la series kuliko game of throne
 
Hawa wenye umbo la mijusi wamepotelea wapi??
 
wakuu musibishane sana haya anayoyaongelea mimi nimeona kwenye movies nyingi za kizungu ni kama catoons vile zipo movies nyingi zinaongelea haya ila uhalisia hakuna kitu kama hicho anachosema ni kama kufurahisha barza tu
 
mkuu ulishawahi kuona movie imeigiza kitu kisichokuwepo? Jua kama waliigiza ina maana kipo kwenye jamii, sasa mbona mwishoni unasema kua hamna kitu kama hicho?
 
Kuna contradiction ya sayansi, dini na imani za "aliens", for those reasons nimeshindwa kupata pts za kuchangia...
 
mkuu ulishawahi kuona movie imeigiza kitu kisichokuwepo? Jua kama waliigiza ina maana kipo kwenye jamii, sasa mbona mwishoni unasema kua hamna kitu kama hicho?
Ni binadamu gani alikuwepo zamani akaona Dinosaur au Dragons?? Lakin mbona leo wanaigiza kuhusu hao wanyama na milio yao??

Mimi naona sometime ni universal agreement tu kuwa kiumbe fulani tukipe shape fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhuhuii
 
Mi nashindwa kuelewa jambo moja! Je tunavyoomba huwa dua zetu zinapokelewa na nan?
Mfano mm miujiza ming huwa napokea endapo nitaomba kwa jna la yesu.
Mf nilijifungua mtoto ambaye nliambiwa ameshafariki, niliomba kwa sauti na kutoa nadhr kwa yesu kuwa akimpa uhai ntamlea ktk mising ya kumwabudu yey...hapo ghafla mtoto alianza kukohoa na akapata uhai,
Ni mengi tu yasiyowezekana kibinadamu yanawezekana kwang kupitia maombi
COZ NINA IMANI KALI SANA TOKA KUZALIWA KWANGU SIJAWAHI KANYAGA KWA MGANGA.
sasa kama hakuna mungu inakuaje dua zinapokelewa na kujibiwa ni nani yupo behind that?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…