Kwaiyo zombies na Vampires wapo kweli?mkuu ulishawahi kuona movie imeigiza kitu kisichokuwepo? Jua kama waliigiza ina maana kipo kwenye jamii, sasa mbona mwishoni unasema kua hamna kitu kama hicho?
Vampire wapo zombies sijajua,hata tz vampire wapo sema wanatouti ya utamkwaji wake kama ulishawai skia MTU Fulani huwa afi anaanzisha uzao hapa watoto wakikua akizeeka kidg anajivua gamba na kuwa kijana anakimbia mji anaenda kuanzisha makao sehemu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imani ndio kitu pekee kinachoweza kufanya hayo yote...wakati ww hujawahi kwenda kwa waganga,kuna watu wanaamini kuwa waganga wanaweza kuwasaidia na imani yao inawaponya.Kabla ya kuletwa kwa hizi dini (ukristo,uislamu) waafrika walikua na miungu yao ambayo iliwasaidia kutatua matatizo yao mf kukosekana kwa mvua,magonjwa n.k...kilichokuwa kinafanya kazi sio miungu yao Bali ni imani waliyojiwekea kuwa wakiomba kitu fulani basi watasikilizwa.Mi nashindwa kuelewa jambo moja! Je tunavyoomba huwa dua zetu zinapokelewa na nan?
Mfano mm miujiza ming huwa napokea endapo nitaomba kwa jna la yesu.
Mf nilijifungua mtoto ambaye nliambiwa ameshafariki, niliomba kwa sauti na kutoa nadhr kwa yesu kuwa akimpa uhai ntamlea ktk mising ya kumwabudu yey...hapo ghafla mtoto alianza kukohoa na akapata uhai,
Ni mengi tu yasiyowezekana kibinadamu yanawezekana kwang kupitia maombi
COZ NINA IMANI KALI SANA TOKA KUZALIWA KWANGU SIJAWAHI KANYAGA KWA MGANGA.
sasa kama hakuna mungu inakuaje dua zinapokelewa na kujibiwa ni nani yupo behind that?
Sent using Jamii Forums mobile app
we si unaimani kali niombee na mimi kitu kizuri kikitendeka nimjue mungu wako kuwa ananguvu.Mi nashindwa kuelewa jambo moja! Je tunavyoomba huwa dua zetu zinapokelewa na nan?
Mfano mm miujiza ming huwa napokea endapo nitaomba kwa jna la yesu.
Mf nilijifungua mtoto ambaye nliambiwa ameshafariki, niliomba kwa sauti na kutoa nadhr kwa yesu kuwa akimpa uhai ntamlea ktk mising ya kumwabudu yey...hapo ghafla mtoto alianza kukohoa na akapata uhai,
Ni mengi tu yasiyowezekana kibinadamu yanawezekana kwang kupitia maombi
COZ NINA IMANI KALI SANA TOKA KUZALIWA KWANGU SIJAWAHI KANYAGA KWA MGANGA.
sasa kama hakuna mungu inakuaje dua zinapokelewa na kujibiwa ni nani yupo behind that?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi Nahisi Kichwa Kina Uma Najiulza Mambo Ambayo Majibu Yanakuwa Magumu,
Kitu Gan Kilifanya Binadamu Kumwabudu Mungu? Ama Kwanin Kizaz Kimoja Kiabudu Kingine,
Pia Kumbuka Jacob Hakushnda Alipigwa Paja Na Huyo Kiumbe ,na Je Hawa Viumbe Wana Kiongoz Wao Kama Yupo Ni Nan?
Nisaidie Haya Kwanza Alafu Uendlee
Duh nimesoma nikabaki kuwaza na kuwazua iwapo Le Prof mshana jr angepitia uwanja huu sijui angekuja na maoni gani maana huyu jamaa ni mtata sana mada zake nazisoma sana ila napita kimya kimya unajua uwanja wa ugenini lazima utume mbinu za ulinzi zaidi kuliko kushambulia (defensive merchanisim).
ipi hio mkuu..?Mkuu hii sinema inaonekana uliielewa vizuri sana. Yaani unaielezea kama kweli vile!