Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Mmmmh fafanua hapo mkuu au kama una evidence zaidi ikiwezekana hata mfano wa huyo mtu asiyekufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa bado
 
Dah! Hii habari niliileta kitambo mpaka mtazamo wangu umebadilika πŸ˜„πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hii story ni ilitungwa kwa hisani ya biblia na story za kinajimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…