BASANORARE
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 309
- 256
😄😄Jamii Namba ni tawi la JamiiForum mkuu.
Ni mpango wa serikali kuwatambua wanachama wa JamiiForum na kuwapatia mikopo kwa riba ya 0%
Jamii namba ni mbadala wa NIDA. Ni mfumo unaotumika kwenye nchi zilizoendelea na hata Kwnya wanao. Namba moja inakua na taarifa zako zoteHabari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona kama Kuna mtu kaiandika labda lkn naona hola. So naomba kama Kuna mtu anamaelezo yake anishushie nielewe namm.
Jamii namba ni mbadala wa NIDA. Ni mfumo unaotumika kwenye nchi zilizoendelea na hata Kwnya wanao. Namba moja inakua na taarifa zako zote