BASANORARE
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 309
- 256
Habari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona kama Kuna mtu kaiandika labda lkn naona hola. So naomba kama Kuna mtu anamaelezo yake anishushie nielewe namm.