Jamii namba

Jamii namba

BASANORARE

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
309
Reaction score
256
Habari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona kama Kuna mtu kaiandika labda lkn naona hola. So naomba kama Kuna mtu anamaelezo yake anishushie nielewe namm.
 
Nimepata tabu kuelewa ulichoandika mkuu, nimerudia kusoma mara mbili ndo nikaelewa, nadhani uandishi na mpangilio wako wa maandishi unaweza kuwafanya wadau wapuuze ulichoandika, ikashindikanika kupata ulichotarajia.

Edit ikae vizuri.
 
Habari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona kama Kuna mtu kaiandika labda lkn naona hola. So naomba kama Kuna mtu anamaelezo yake anishushie nielewe namm.
Jamii namba ni mbadala wa NIDA. Ni mfumo unaotumika kwenye nchi zilizoendelea na hata Kwnya wanao. Namba moja inakua na taarifa zako zote
 
Back
Top Bottom