Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

Cha Msingi mtu Kama Maxence Melo Mubyazi na Mwenzake Mike Mushi kama wanalo LENGO la kuanzisha ichi kitu ni simple sana wao wanaenda wanajitambulisha katika soko mitaji la CMSA na kupewa procedures zote na kuanzisha biashara lakini kwa kukusanyana watu humu humu ni kupigwa mapema. Maana kuna watu wengi hawana elimu ya FEDHA lakini ni waongeaji wazuri, sasa awo kulingana na ishu za fedha hawazijui watataka kufanya kama kazi MC( MASTER OF CEREMONY ) Mwisho ajui finance, account and mathematics. Matokeo fedha kupotea
 
Kwa nn? Msitumie masoko ya mitaji kwa ajili ya kufungua izo ishu maana kule kuna watu wa kila aina na professionals katika masoko ya mitaji. Kuliko kubebana na mtu asiyejua maswala ya business kuchangishana pesa, mwisho wa siku ni kuzulumiana.
Wacha kuchanganya mambo SACCOS na unavyo taja ni vitu viwili tofauti.

Watanzania tunawaza Dhuruma, kuibiwa, kutapeliwa, Kudhurumiwa. Wakina Mengi wangekuwa na Mawazo kama haya nazani angekuwa machame anapunguzia Migimba.

Wenye nia wacha wafanye na sisi wafanyia watu kazi tuendelee kuwafanyia watu kazi tutazunduka tukisha stafu au tukifujuzwa kazi.

Kwa sasa hapana.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mbona ilishafanywa ikashindikana wewe umesoma History, geography na Kiswahili na maswala ya fedha wapi na wapi?
Tafuta watu makini ndio wafanye kazi
Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu Elimu
Watanzania tunaangamia kwa kukosa ujuzi wa kitu fulani na wenye ujuzi wa kitu Kingine wanataka kazi zisizo zao
 
Cha Msingi mtu Kama Maxence Melo Mubyazi na Mwenzake Mike Mushi kama wanalo LENGO la kuanzisha ichi kitu ni simple sana wao wanaenda wanajitambulisha katika soko mitaji la CMSA na kupewa procedures zote na kuanzisha biashara lakini kwa kukusanyana watu humu humu ni kupigwa mapema. Maana kuna watu wengi hawana elimu ya FEDHA lakini ni waongeaji wazuri, sasa awo kulingana na ishu za fedha hawazijui watataka kufanya kama kazi MC( MASTER OF CEREMONY ) Mwisho ajui finance, account and mathematics. Matokeo fedha kupotea
Wewe huna unacho jua zaidi ya kukatisha watu Tamaa, na inaonekana Jamiiforum umejiunga Juzi. SACCOS ilikuwepo na ilikufa na hakuna alie rushwa kila mtu alirudishiwa pesa yake na tatizo la kufa ilikuwa watu hawakutani ila michango ilikuwa inatumwa. Ningewawekea hadi Minute ila haina haja jwa watu like you.

Pia tambua kwamba SACCOS ni kama ilivyo Vikundi vya Hisa au VICOBA ila SACCOS ziko more advanced kwa sababu zina kaguliwa na Serikali.

SACCOS kuanisha sio lazima muwe watalaamu wa Mahesabu bali kule ni kuchangishana pesa.

Shida watu kama wewe muda wote na wakati wote ni kuwaza Negative kuwaza kuibiwa, kutapeliwa na kudhulumiwa.

Mawazo kama haya yako hutoboi milele.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikuache tu utanisababishia ban bila sababu. Sikujua km nabishana na mwenye umri sawa na mwanangu. Jamii forums yenyewe umejiunga June. Kubishana na ww ni makosa makubwa sana! Maana huelewi hata unachoongea! Samahani sana....!

Post sent using JamiiForums mobile app
Achana naye huyo, anadhania hacking ni swala dogo sana, pamoja na telecom yake anashindwa dadavua jambo dogo tu hili. Kila kitu humu ndanikipo emcrypted, wale msiwe na hofu kabisa.
 
Mbona ilishafanywa ikashindikana wewe umesoma History, geography na Kiswahili na maswala ya fedha wapi na wapi?
Tafuta watu makini ndio wafanye kazi
Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu Elimu
Watanzania tunaangamia kwa kukosa ujuzi wa kitu fulani na wenye ujuzi wa kitu Kingine wanataka kazi zisizo zao
We endelea kufanya kazi kwa Wanaume wenzako halafu unajiona mjanja. mimi na elimu yangu ndogo sana silipwi na Mwanaume mwingine.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mbona mkoo soo negative jamani???

Am sure mkimpata mtu aliyesoma project management,hii ishu itafanikiwa vizuri tu.

kama mnaogopa kujulikana,usimwambie mtu ID yako😉😉

toa mchango kwa jina lako kwa mfano precious ukontizwe,hakuna anayejua wewe ni nani kwenye JF

Sidhani kama inawezekana kama unavyodhani. Ili kufanilisha hili lazima watu wajitokeze in there real names bila kujitambulisha kwa ID zao za JF.
 
Mbona ilishafanywa ikashindikana wewe umesoma History, geography na Kiswahili na maswala ya fedha wapi na wapi?
Tafuta watu makini ndio wafanye kazi
Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu Elimu
Watanzania tunaangamia kwa kukosa ujuzi wa kitu fulani na wenye ujuzi wa kitu Kingine wanataka kazi zisizo zao
Unajua sababu ya Kufa? uliza sababu acha kujifanya unajua. Uliza kwa nini ilikufa? kwa taarifa yako haikuwa shida ya Fedha bali muda wa hasa viongozi na hakuna alie poteza pesa yake wote walipata pesa zao.

Wewe kaaa kimya acha wenye nia wafanye hata kama wako 6.

Wewe ndo wale wakatisha tamaa kila kitu hakiwezekani sasa nini kinawezekana?

Kila jambo haliwezekani?

Mawazo ya kimasikini na Uoga na Aibu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mbona ilishafanywa ikashindikana wewe umesoma History, geography na Kiswahili na maswala ya fedha wapi na wapi?
Tafuta watu makini ndio wafanye kazi
Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu Elimu
Watanzania tunaangamia kwa kukosa ujuzi wa kitu fulani na wenye ujuzi wa kitu Kingine wanataka kazi zisizo zao
Sijui hata kama unajua SACCOS ina opatiwa vipi, nazani hujui ungejuwa unajua Usingecomment hivi

Uliza saccos inaendeshwaje? make hapa hujui ila unajifanya kujua sana kumbe hujui chochote kile.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mbona ilishafanywa ikashindikana wewe umesoma History, geography na Kiswahili na maswala ya fedha wapi na wapi?
Tafuta watu makini ndio wafanye kazi
Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu Elimu
Watanzania tunaangamia kwa kukosa ujuzi wa kitu fulani na wenye ujuzi wa kitu Kingine wanataka kazi zisizo zao
Na kama ilikufa ndo isiwezekane tena? so ukilima mazao yakafa inabidi uuze shamba uwe unalala masaa yote?

Ukianzisha biashara ikafa inabidi uache si ndio?

Wewe ni moja ya watu nakutana nao wenye mawazo ya kimasikini mno.

Mawazo ya masikini kumshauri masikini mwenzake huwa ni haya yako.

Wakina Thomas Edson wasingegubdua Balubu basi.

Nazani tunao waona matajiri leo wasingekuwepo kama wote wangekuwa na mawazo kama yako haya

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe huna unacho jua zaidi ya kukatisha watu Tamaa, na inaonekana Jamiiforum umejiunga Juzi. SACCOS ilikuwepo na ilikufa na hakuna alie rushwa kila mtu alirudishiwa pesa yake na tatizo la kufa ilikuwa watu hawakutani ila michango ilikuwa inatumwa. Ningewawekea hadi Minute ila haina haja jwa watu like you.

Pia tambua kwamba SACCOS ni kama ilivyo Vikundi vya Hisa au VICOBA ila SACCOS ziko more advanced kwa sababu zina kaguliwa na Serikali.

SACCOS kuanisha sio lazima muwe watalaamu wa Mahesabu bali kule ni kuchangishana pesa.

Shida watu kama wewe muda wote na wakati wote ni kuwaza Negative kuwaza kuibiwa, kutapeliwa na kudhulumiwa.

Mawazo kama haya yako hutoboi milele.

Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe ndio ujui chochote. Unaongea eti umejiunga jana Unashindwa hata kuangalia katika account ya mtu kajiunga lini? Pili watu wengi ni siasa na Uzi huu apa kama ungekuwa kwenye Uzi wa biashara kusingekuwa na uchangiaji. Watu wanawaza siasa na nani kafanya nini? Taasisi za fedha zipo na hazitumiki ipasavyo na wenye uelewa wa izo Taasisi ni wachache na wenye kujua utaka kuwaingiza watu kwa lengo la kupata Commission
 
Hahaha huwezi jilinganisha na mim8 tafuta Post zangu kwanza humu siko Stricty, nionyeshe ya kwako ya maana.

Siasa unajua wewe hapo mimi siasa sijui sawa? mimi niko bise ba mambo yangu

Taja nisicho jua, Kwa taarifa yako sisi tuna SACCOS yetu. Sawa?

Pili acha wenye nia hata kama ni wawili waache watimize ndoto zao wacha mawazo ya kimama.

Wenye nia hata kama ni mmoja muache afanye wewe huna nia kaa kimya.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahaha huwezi jilinganisha na mim8 tafuta Post zangu kwanza humu siko Stricty, nionyeshe ya kwako ya maana.

Siasa unajua wewe hapo mimi siasa sijui sawa? mimi niko bise ba mambo yangu

Post sent using JamiiForums mobile app
Siwezi bishana na wewe ambae umeshindwa kujua nimejiunga Jana au Leo. Ndio wewe unataka uwashauri watu watoe pesa zao
Wewe Unafikiri pesa zinaokotwa???
Umekaa mtandaoni umeshituka una pesa unakuja na mawazo ya Saccos
 
Mimi ndo nimeleta wazo? Mimi huwa napenda Idea za watu kama hizi so nampongeza na kumtia moyo na inawezekana.

Wewe endelea na mawazo yako hayo.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Siwezi bishana na wewe ambae umeshindwa kujua nimejiunga Jana au Leo. Ndio wewe unataka uwashauri watu watoe pesa zao
Wewe Unafikiri pesa zinaokotwa???
Umekaa mtandaoni umeshituka una pesa unakuja na mawazo ya Saccos
Mimi ni Verfied unajua maana ya Verfied? hahahaa utajulia wapi?

Angalia account yangu mimi ni verfied sasa usdhani kuwa Verfied ni swala dogo.

Pia usiseme mnaibiwa sema naibiwa wacha kusemea watu.

Sema mimi naibiwa naogopa kuibiwa usiseme mnaogopa kuibiwa wewe na nani?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Siwezi bishana na wewe ambae umeshindwa kujua nimejiunga Jana au Leo. Ndio wewe unataka uwashauri watu watoe pesa zao
Wewe Unafikiri pesa zinaokotwa???
Umekaa mtandaoni umeshituka una pesa unakuja na mawazo ya Saccos
Halafu wazo sijatoa mimi make nyie ndo manaaza na coment kwanza then ndo mnaanza kusoma habari. Unaingua fb kwa sababu watu wame like una like then unarudi kusoma.

Soma post nzima na alie leta wazo acha kujitoa ufahamu bwana mdogo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
I promise you guys ladies and gentlemen!

Hii kitu itakuja kuwa real, whether you call it SACCOS ama VIKOBA ama vyovyote vile but nawahakikishia hapa.

Just a time, mtakuja kukiri hapa wote; kwamba mkuu MaishaPesa alisema itakuwa na imekuwa.

Keep watching!
 
Back
Top Bottom