Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

Muanzisha thread naomba nicheki pls.

Wale waasisi wa ile saccos iliyokufa pls join with us; mtusaidie tujue kwanini ilikufa; then tutapata pa kuanzia.

Karibuni sana
 
Hapa ni sehemu ya kupapeana habari tuu , na maujanja mbalimbali halafu kachanganye na za kwako ( mbayuwayu doctrine) watu wakiona tuu mkusanyiko wanawaza michango, sijui vikoba sijui saccos ili wapate mwanya...... ndio maana hata hata magroup ya wasap yamekuwa kero kwa michango..... kama unataka mali utaipata shambani......fuatilia mada za kilimo.... ufugaji zinazopatikana humu zitakusaidia sio unakaa kwenye key body na jina lako la bandia halafu unataka saccos....???
 
Anzisheni bana,

Hata kama mko watano,

Mkiisimamia hii project vizuri,

Wengine watatamani kujiunga nanyi,

Jifunzeni Jamii Forum ilivyoanzishwa how was it then, na sasa hivi ikoje muone ilivyopiga hatua.

Again, naona swala lilikua kukutana kwa ajili ya vikao, siku hizi technology imekua, hakuna uhitaji wa kukutana physically na kama vipi, Mnaweza mkakutana hapa hapa JF saa fulani mpaka fulani, kiongozi anatoa dondoo watu wanatililika
 
Kujuana kitu gani bhnaa!

Watu humu wanajuana na mikwaju wanapena sembuse hela?

Uwiiii anzisha mwaya binafsi nataka pesa SIWAZI kujulikana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Anzisheni bana,

Hata kama mko watano,

Mkiisimamia hii project vizuri,

Wengine watatamani kujiunga nanyi,

Jifunzeni Jamii Forum ilivyoanzishwa how was it then, na sasa hivi ikoje muone ilivyopiga hatua.

Again, naona swala lilikua kukutana kwa ajili ya vikao, siku hizi technology imekua, hakuna uhitaji wa kukutana physically na kama vipi, Mnaweza mkakutana hapa hapa JF saa fulani mpaka fulani, kiongozi anatoa dondoo watu wanatililika
Sawa kabisa. Keep watching mkuu
 
Hapa ni sehemu ya kupapeana habari tuu , na maujanja mbalimbali halafu kachanganye na za kwako ( mbayuwayu doctrine) watu wakiona tuu mkusanyiko wanawaza michango, sijui vikoba sijui saccos ili wapate mwanya...... ndio maana hata hata magroup ya wasap yamekuwa kero kwa michango..... kama unataka mali utaipata shambani......fuatilia mada za kilimo.... ufugaji zinazopatikana humu zitakusaidia sio unakaa kwenye key body na jina lako la bandia halafu unataka saccos....???
Sa wote kama tutaenda shambani kutafuta hela inakuaje? Pia ndio kwenye mikusanyiko ndo penye hela siku zote.
 
Tatizo ni utando ulio tanda akilini mwa watu, nazani wenye nia hata kama wako 5 waanzishe na si lazima kupata watu humu.

Si kwamba tulioko humu wote ni wafanya biadhara no wengine hupita tu tena ndo wengi 99%
Ndo maana lazima kuwe na comment za aina hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna Moja ilitangazwa sana humu ya dada Zainab Tamim na nmetuma Ten yangu sijajibiwaga mpaka Leo. kwa hyo ni upigaji tuu

Tupe jina lako kamili na tutumie kopi ya muamala.

Kama unahisi ni "upigaji" baada ya kututumia uthibitisho wa kutuma pesa na kuhakiki kua ni kweli. Utakuwa na choice au tukusajili au tukurudishie 10,000 yako ya usajili.
 
Yaani mi nikiona habari za helahela popote sijui naonaje!Nahisi ntakuwa peke yangu....
 
Sijakata tamaa, sasa hivi wapatikane wale wanaopenda kasi ya Magufuli, yote yanawezekana.
 
Back
Top Bottom