PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Hii imfikie Zainab tamimukuna Moja ilitangazwa sana humu ya dada Zainab Tamim na nmetuma Ten yangu sijajibiwaga mpaka Leo. kwa hyo ni upigaji tuu
Kwaiyo unayatafuta kwenye bakuli duh!!!!Usiogope....maendeleo hayaji kwenye sahani.....ni sisi ndo tutayaleta
Sawa kabisa. Keep watching mkuuAnzisheni bana,
Hata kama mko watano,
Mkiisimamia hii project vizuri,
Wengine watatamani kujiunga nanyi,
Jifunzeni Jamii Forum ilivyoanzishwa how was it then, na sasa hivi ikoje muone ilivyopiga hatua.
Again, naona swala lilikua kukutana kwa ajili ya vikao, siku hizi technology imekua, hakuna uhitaji wa kukutana physically na kama vipi, Mnaweza mkakutana hapa hapa JF saa fulani mpaka fulani, kiongozi anatoa dondoo watu wanatililika
Oya. Nimekucheki inbobo tupeane sapoti naona kimyaTypical Tanzanian mind....
Sa wote kama tutaenda shambani kutafuta hela inakuaje? Pia ndio kwenye mikusanyiko ndo penye hela siku zote.Hapa ni sehemu ya kupapeana habari tuu , na maujanja mbalimbali halafu kachanganye na za kwako ( mbayuwayu doctrine) watu wakiona tuu mkusanyiko wanawaza michango, sijui vikoba sijui saccos ili wapate mwanya...... ndio maana hata hata magroup ya wasap yamekuwa kero kwa michango..... kama unataka mali utaipata shambani......fuatilia mada za kilimo.... ufugaji zinazopatikana humu zitakusaidia sio unakaa kwenye key body na jina lako la bandia halafu unataka saccos....???
rr3Muanzisha thread naomba nicheki pls.
Wale waasisi wa ile saccos iliyokufa pls join with us; mtusaidie tujue kwanini ilikufa; then tutapata pa kuanzia.
Karibuni sana
Kwa mbinu zipi? zilezile za mwanzo?Tujitahidi tena
Jipange kwa hali yako tu mkuu !!!Typical Tanzanian mind....
kuna Moja ilitangazwa sana humu ya dada Zainab Tamim na nmetuma Ten yangu sijajibiwaga mpaka Leo. kwa hyo ni upigaji tuu