Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mimi binafsi yangu siwez wasakama wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa naamin kwa fikra na hisia zao hawajapata mwanaume ambaye sio bora tusiwasakame na kuwachukulia kama ni wakosaji wakubwa sana
Wengi wao ni victim wa hisia yaan wale ambao hawana hisia nao ndo wanaume wakufanya nao maisha, na wale ambao wenye hisia nao ndo vimeo, wanakuja kujua ni vimeo mimba na mtoto tayari ameshamzalia kwa hiyo inakua majuto ni mjukuu umeona dunia ilivyo unfair
Ndo maana nashangaa watu wanaowasakama wanawake walio single ukweli ni kwamba kila binadamu anataka kilicho bora na kama mjuavyo vitu bora ni vichache kwa muonekano wa nje ila ukweli ni kwamba kila mwanaume ni bora kama akiamua kutengenezwa same applied kwa wanaume walio oa wengi wao wameanza kupendeza baada ya kuoa au kuwa kwenye mahusiano yenye malengo.
Kwenye maisha hakuna mtu ambaye jambo zuri halijawahi kumjia kwenye maisha yake, ila kwa sababu ya utashi wetu ambao ni mdogo tulilikataa kwa sababu halijaja kama tulivyotaka, hii ni kwa sababu jambo lolote zuri haliji jinsi tunavyotaka na hapo ndo fumbo gumu liliopo, huku mwanamke akitarajia mwanaume bora ni yule mwenye gari and all attributes which define good life wengi wenye hizi sifa sio wote wanaishia kuwachezea sababu wanakuwa tayari kwenye mahusiano
Tukubali kwamba kizazi kilichopo kinataka kudandia vitu vizuri hio ndo changamoto iliyopo leo, mwanamke anataka mwanaume ready made
Wanawake wengine ni kama wana bahati mbaya kila mwanaume anayemkubalia ni kimeo na wale bora ndo anao wakataa, sio kila mwanamke ambaye yuko single na hajaolewa basi alikua anachagua wengine hawachagui ila ni victim wa wrong choice
Kama ni mwanamke na hujaolewa na uko single kubali haya ndo maisha there is no way you can reverse time usijuhukumu sana kwa mistake ulizofanya kipindi cha nyuma