Jamii tusiwasakame wanawake ambao hawajaolewa na wako single

Jamii tusiwasakame wanawake ambao hawajaolewa na wako single

Hawa wananawake ambao hawaja olewa wana kesha sana kwenye nyumba za ibada wanafunga na kutoa sadaka mafungu makubwa makubwa kwa manabii huku wakiomba wapate mume ila tukiwa salimia njiani , kuwasimamisha na kuwatongoza wanatukataa na kutujibu hovyo sana, hawajui kabisa kua waume wanao waomba huko ndio sisi sisi tunao wachokoza chokoza njiani na mitaani ... Sasa shauri yenu lazima tuwaseme sana ili wanawake ambao hawajaolewa wajijue wao ni aibu kwenye jamii...

Nb: mimi na tafuta mke ila nikikutana na mwanamke ambae hajaolewa na nime muelewa ananikataa kabisa tena kwa ujasiri na sababu za msingi hana, naona hana akili kabisa tena ni mjinga sana.. Huwezi kataa mwanaume ewe mwanamke alafu unaomba upewe mume , tunakusubiria 30+ ili utusumbue tukuchezee
 
Tatizo wanakuwaga na MDOMO
Mimi binafsi yangu siwez wasakama wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa naamin kwa fikra na hisia zao hawajapata mwanaume ambaye sio bora tusiwasakame na kuwachukulia kama ni wakosaji wakubwa sana

Wengi wao ni victim wa hisia yaan wale ambao hawana hisia nao ndo wanaume wakufanya nao maisha, na wale ambao wenye hisia nao ndo vimeo, wanakuja kujua ni vimeo mimba na mtoto tayari ameshamzalia kwa hiyo inakua majuto ni mjukuu umeona dunia ilivyo unfair

Ndo maana nashangaa watu wanaowasakama wanawake walio single ukweli ni kwamba kila binadamu anataka kilicho bora na kama mjuavyo vitu bora ni vichache kwa muonekano wa nje ila ukweli ni kwamba kila mwanaume ni bora kama akiamua kutengenezwa same applied kwa wanaume walio oa wengi wao wameanza kupendeza baada ya kuoa au kuwa kwenye mahusiano yenye malengo.

Kwenye maisha hakuna mtu ambaye jambo zuri halijawahi kumjia kwenye maisha yake, ila kwa sababu ya utashi wetu ambao ni mdogo tulilikataa kwa sababu halijaja kama tulivyotaka, hii ni kwa sababu jambo lolote zuri haliji jinsi tunavyotaka na hapo ndo fumbo gumu liliopo, huku mwanamke akitarajia mwanaume bora ni yule mwenye gari and all attributes which define good life wengi wenye hizi sifa sio wote wanaishia kuwachezea sababu wanakuwa tayari kwenye mahusiano

Tukubali kwamba kizazi kilichopo kinataka kudandia vitu vizuri hio ndo changamoto iliyopo leo, mwanamke anataka mwanaume ready made

Wanawake wengine ni kama wana bahati mbaya kila mwanaume anayemkubalia ni kimeo na wale bora ndo anao wakataa, sio kila mwanamke ambaye yuko single na hajaolewa basi alikua anachagua wengine hawachagui ila ni victim wa wrong choice

Kama ni mwanamke na hujaolewa na uko single kubali haya ndo maisha there is no way you can reverse time usijuhukumu sana kwa mistake ulizofanya kipindi cha nyumA
 
Tatizo wanakuwaga na MDOMO sana kabla hayajawakuta😂😂😂
Kwa hiyo tunachokifanya ni kutimiza ule msemo "malipo duniani",wao huleta mdomo kabla ya tukio sisi huleta mdomo baada ya tukio
 
Kuna manzi nadate naye enzi zake kwenye prime ya urembo wake alinata sana, sasa ana early 30s age range ana kazi nzuri na maisha yake nikajaribu kumdokezea ndoa ona alichojibu. Ningescreenshot tulivyokuwa tukichat lakini acha tu nicopy na kupaste meseji zake

"I wish unioe hata kesho"
"Mm sitaki sherehe kubwa"
"But nahitaji pete nzuri na gauni nzuri na ww suti nzuri"
Kwaio una mpango wa kumuoa au ulitishia nyau??

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mtu kama riziki yake ipo ipo tu ..Jambo la kuolewa kila mtu ataolewa mda sahihi kabisa.
 
We mwenyewe unatumia jiba bandia, kinachoandikwa jamiforum ni wewe mwenyewe either ukichukue au ukiache hujalazimishwa ndo maana ikaitwa forum kila mtu anatoa maoni yake ilimradi ajatukana mtu

Ukiona uzi unakuuzi basi umekugusa
Usidandie treni kwa mbele mkuu.wakati mwingine kama hujui muendelezo wa comment basi ujitahidi kufuatilia kwanza mkuu..si ndio ee🤛🤛🤛
 
Muwe mnakuwa bayana sasa tatizo mnakuwa na matukio na mapicha picha hata hamueleweki. Mbona umri ukishaenda miili ikachakaa huwa mnakuwa very intelligent na humble yaani kuna muda unaongea na demu wa miaka 34 au 35 unashangaa huyu kwann yupo mwenyewe tu ana manga manga kama bata kwenye bustani nzuri ya mauwa.

Unakuja kujua kumbe kipindi akiwa bado binti mtamu alijitoa ufahamu akawa anafanya matukio ya hovyo hovyo ila saa hii mambo yamekaa tenge ameanza kutumia akili.
Umeongee ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom