Jamii tusiwasakame wanawake ambao hawajaolewa na wako single

utasikia mwanamke mzuri kama wewe unakosaje mwanaume wa kukuoa?? tatizo mnachagua sana
Ni ukweli lakini. Mabinti mnachagua sana. Yaani unapokutana na mtu wakati huu kwenye kichwa chako unatengeneza fikra kuwa kuna mtu bora zaidi ya huyu atakuja mbeleni unakuwa haupo serious na commitment.
 
Hapana.
wapo watu hawana hio, ila mwanaume nae ndo anaanza ooh mwanamke mwenyewe hivi mara vile

ila nafikiri kikubwa wakati wa bahati ndio unaoamua nani aolewe nani azeeke single..ila kusema wanawake wana matatizo sio wote
 
usiusemee moyo wa mtu mkuu
Muwe mnakuwa bayana sasa tatizo mnakuwa na matukio na mapicha picha hata hamueleweki. Mbona umri ukishaenda miili ikachakaa huwa mnakuwa very intelligent na humble yaani kuna muda unaongea na demu wa miaka 34 au 35 unashangaa huyu kwann yupo mwenyewe tu ana manga manga kama bata kwenye bustani nzuri ya mauwa.

Unakuja kujua kumbe kipindi akiwa bado binti mtamu alijitoa ufahamu akawa anafanya matukio ya hovyo hovyo ila saa hii mambo yamekaa tenge ameanza kutumia akili.
 
Hapana.
wapo watu hawana hio, ila mwanaume nae ndo anaanza ooh mwanamke mwenyewe hivi mara vile

ila nafikiri kikubwa wakati wa bahati ndio unaoamua nani aolewe nani azeeke single..ila kusema wanawake wana matatizo sio wote
Hivi unaamini katika kitu kinaitwa bahati yaani from nowhere upate kile unahitaji bila kutia jitihada wala nguvu yoyote?! Unaamini hivyo?

No such thing as Luck. Its all about being prepared and good timing when opportunity comes across.
 
Sijasema wanawake wanamatatizo na ni wote noo. Ila wanawake wamatabia za kuigana siku hizi na zinawagharimu.
 
ile nguvu ya kukileta hicho utakachokitilia jitihada ndio bahati yenyewe, anyway: Sikupingi
Sijasema wanawake wanamatatizo na ni wote noo. Ila wanawake wamatabia za kuigana siku hizi na zinawagharimu.
oooh sawa
 
Mbona umri ukishaenda miili ikachakaa huwa mnakuwa very intelligent na humble yaani kuna muda unaongea na demu wa miaka 34 au 35 unashangaa huyu kwann yupo mwenyewe tu ana manga manga kama bata kwenye bustani nzuri ya mauwa.
💯🤝
 
Muwe mnakuwa bayana sasa tatizo mnakuwa na matukio na mapicha picha hata hamueleweki. Mbona umri ukishaenda miili ikachakaa huwa mnakuwa very intelligent na humble yaani kuna muda unaongea na demu wa miaka 34 au 35 unashangaa huyu kwann yupo mwenyewe tu ana manga manga kama bata kwenye bustani nzuri ya mauwa.

Unakuja kujua kumbe kipindi akiwa bado binti mtamu alijitoa ufahamu akawa anafanya matukio ya hovyo hovyo ila saa hii mambo yamekaa tenge ameanza kutumia akili.
basi ndo hivyo maisha yawavyo.. kikubwa uhai mengine majaaliwa
 
Kwa mwanamke anayejitambua kuolewa si ishu kwake kwani hata hao walio olewa wengi wao utakuta hawana furaha za ndoa, wanaishi tu kimazoea na kwa ajili ya watoto wao. Ndoa za siku hizi ziko mashakani mno na ndiyo maana watu wengi huchepuka kuondoa tu msongo wa mawazo wanaopata toka kwa wapenzi wao.
 
Unakuja kujua kumbe kipindi akiwa bado binti mtamu alijitoa ufahamu akawa anafanya matukio ya hovyo hovyo ila saa hii mambo yamekaa tenge ameanza kutumia akili
Kuna manzi nadate naye enzi zake kwenye prime ya urembo wake alinata sana, sasa ana early 30s age range ana kazi nzuri na maisha yake nikajaribu kumdokezea ndoa ona alichojibu. Ningescreenshot tulivyokuwa tukichat lakini acha tu nicopy na kupaste meseji zake

"I wish unioe hata kesho"
"Mm sitaki sherehe kubwa"
"But nahitaji pete nzuri na gauni nzuri na ww suti nzuri"
 
Kwa mwanamke anayejitambua kuolewa si ishu kwake kwani hata hao walio olewa wengi wao utakuta hawana furaha za ndoa, wanaishi tu kimazoea na kwa ajili ya watoto wao. Ndoa za siku hizi ziko mashakani mno na ndiyo maana watu wengi huchepuka kuondoa tu msongo wa mawazo wanaopata toka kwa wapenzi wao.
Endelea kujifariji ina rusiwa
 
Usiamini sana miandiko ya jf jombaa.

Fake Idz
Fake comments
Fake threadz
We mwenyewe unatumia jiba bandia, kinachoandikwa jamiforum ni wewe mwenyewe either ukichukue au ukiache hujalazimishwa ndo maana ikaitwa forum kila mtu anatoa maoni yake ilimradi ajatukana mtu

Ukiona uzi unakuuzi basi umekugusa
 
Kuna manzi nadate naye enzi zake kwenye prime ya urembo wake alinata sana, sasa ana early 30s age range ana kazi nzuri na maisha yake nikajaribu kumdokezea ndoa ona alichojibu. Ningescreenshot tulivyokuwa tukichat lakini acha tu nicopy na kupaste meseji zake

"I wish unioe hata kesho"
"Mm sitaki sherehe kubwa "
"But nahitaji pete nzuri na gauni nzuri na ww suti nzuri"
Umeongea sahii nafasi ya ndoa kamwe haiwez zibwa na ela au na kitu chochote kile
 
Mwanamke anayejielewa kufikia umri wa miaka 25 anaweza kupata mume bora wa kuishi naye ila kama haishi kwa ndoto ya kupata mwanamume mwenye maisha yake tayari, wenyewe wanasema wa funguo 3 (funguo ya gari, nyumba na ofisi) Hizi ndoto ndo huwa zinawachelewesha hawa dada zetu
 
Wanaogopa kupishana na fursa mkuu..
 
Back
Top Bottom