Ni ukweli lakini. Mabinti mnachagua sana. Yaani unapokutana na mtu wakati huu kwenye kichwa chako unatengeneza fikra kuwa kuna mtu bora zaidi ya huyu atakuja mbeleni unakuwa haupo serious na commitment.utasikia mwanamke mzuri kama wewe unakosaje mwanaume wa kukuoa?? tatizo mnachagua sana
Hapana.Ni ukweli lakini. Mabinti mnachagua sana. Yaani unapokutana na mtu wakati huu kwenye kichwa chako unatengeneza fikra kuwa kuna mtu bora zaidi ya huyu atakuja mbeleni unakuwa haupo serious na commitment.
Muwe mnakuwa bayana sasa tatizo mnakuwa na matukio na mapicha picha hata hamueleweki. Mbona umri ukishaenda miili ikachakaa huwa mnakuwa very intelligent na humble yaani kuna muda unaongea na demu wa miaka 34 au 35 unashangaa huyu kwann yupo mwenyewe tu ana manga manga kama bata kwenye bustani nzuri ya mauwa.usiusemee moyo wa mtu mkuu
Hivi unaamini katika kitu kinaitwa bahati yaani from nowhere upate kile unahitaji bila kutia jitihada wala nguvu yoyote?! Unaamini hivyo?Hapana.
wapo watu hawana hio, ila mwanaume nae ndo anaanza ooh mwanamke mwenyewe hivi mara vile
ila nafikiri kikubwa wakati wa bahati ndio unaoamua nani aolewe nani azeeke single..ila kusema wanawake wana matatizo sio wote
Sijasema wanawake wanamatatizo na ni wote noo. Ila wanawake wamatabia za kuigana siku hizi na zinawagharimu.Hapana.
wapo watu hawana hio, ila mwanaume nae ndo anaanza ooh mwanamke mwenyewe hivi mara vile
ila nafikiri kikubwa wakati wa bahati ndio unaoamua nani aolewe nani azeeke single..ila kusema wanawake wana matatizo sio wote
ile nguvu ya kukileta hicho utakachokitilia jitihada ndio bahati yenyewe, anyway: SikupingiHivi unaamini katika kitu kinaitwa bahati yaani from nowhere upate kile unahitaji bila kutia jitihada wala nguvu yoyote?! Unaamini hivyo?
No such thing as Luck. Its all about being prepared and good timing when opportunity comes across.
oooh sawaSijasema wanawake wanamatatizo na ni wote noo. Ila wanawake wamatabia za kuigana siku hizi na zinawagharimu.
💯🤝Sikatai ndoa, ila haiwezi kuwa sababu ya mtu kumsakama asiyekuwa na ndoa
💯🤝Mbona umri ukishaenda miili ikachakaa huwa mnakuwa very intelligent na humble yaani kuna muda unaongea na demu wa miaka 34 au 35 unashangaa huyu kwann yupo mwenyewe tu ana manga manga kama bata kwenye bustani nzuri ya mauwa.
basi ndo hivyo maisha yawavyo.. kikubwa uhai mengine majaaliwaMuwe mnakuwa bayana sasa tatizo mnakuwa na matukio na mapicha picha hata hamueleweki. Mbona umri ukishaenda miili ikachakaa huwa mnakuwa very intelligent na humble yaani kuna muda unaongea na demu wa miaka 34 au 35 unashangaa huyu kwann yupo mwenyewe tu ana manga manga kama bata kwenye bustani nzuri ya mauwa.
Unakuja kujua kumbe kipindi akiwa bado binti mtamu alijitoa ufahamu akawa anafanya matukio ya hovyo hovyo ila saa hii mambo yamekaa tenge ameanza kutumia akili.
Umeishi huko??Nani kakudanganya hata huko kwa wazungu idea ya usingle inawaumiza sana
Kuna manzi nadate naye enzi zake kwenye prime ya urembo wake alinata sana, sasa ana early 30s age range ana kazi nzuri na maisha yake nikajaribu kumdokezea ndoa ona alichojibu. Ningescreenshot tulivyokuwa tukichat lakini acha tu nicopy na kupaste meseji zakeUnakuja kujua kumbe kipindi akiwa bado binti mtamu alijitoa ufahamu akawa anafanya matukio ya hovyo hovyo ila saa hii mambo yamekaa tenge ameanza kutumia akili
Usiamini sana miandiko ya jf jombaa.We si una msukuma wako anayeprndaga mpira
Maandiko yenyewe yanasema asiyeoa anafanya vema zaidi sasa hyo laana inatoka wapi??Kule raha sana aisee.... Huku bongo wakina mjomba wanakukalisha vikao kisa hujaoa
Nimeshuhudia watu wanasema kama hujaoa/olewa una laana na hutopata furaha
NAKAZIA.Mjikutaga sana tatizo mkiwa katika prime zenu na mtachezewa na kuachwa masingo maza mpk mkome ....na sisi tusio na hela tunataka attention yenu
Endelea kujifariji ina rusiwaKwa mwanamke anayejitambua kuolewa si ishu kwake kwani hata hao walio olewa wengi wao utakuta hawana furaha za ndoa, wanaishi tu kimazoea na kwa ajili ya watoto wao. Ndoa za siku hizi ziko mashakani mno na ndiyo maana watu wengi huchepuka kuondoa tu msongo wa mawazo wanaopata toka kwa wapenzi wao.
We mwenyewe unatumia jiba bandia, kinachoandikwa jamiforum ni wewe mwenyewe either ukichukue au ukiache hujalazimishwa ndo maana ikaitwa forum kila mtu anatoa maoni yake ilimradi ajatukana mtuUsiamini sana miandiko ya jf jombaa.
Fake Idz
Fake comments
Fake threadz
Umeongea sahii nafasi ya ndoa kamwe haiwez zibwa na ela au na kitu chochote kileKuna manzi nadate naye enzi zake kwenye prime ya urembo wake alinata sana, sasa ana early 30s age range ana kazi nzuri na maisha yake nikajaribu kumdokezea ndoa ona alichojibu. Ningescreenshot tulivyokuwa tukichat lakini acha tu nicopy na kupaste meseji zake
"I wish unioe hata kesho"
"Mm sitaki sherehe kubwa "
"But nahitaji pete nzuri na gauni nzuri na ww suti nzuri"
Mwanamke anayejielewa kufikia umri wa miaka 25 anaweza kupata mume bora wa kuishi naye ila kama haishi kwa ndoto ya kupata mwanamume mwenye maisha yake tayari, wenyewe wanasema wa funguo 3 (funguo ya gari, nyumba na ofisi) Hizi ndoto ndo huwa zinawachelewesha hawa dada zetuUmeongea sahii nafasi ya ndoa kamwe haiwez zibwa na ela au na kitu chochote kile
Wanaogopa kupishana na fursa mkuu..Mwanamke anayejielewa kufikia umri wa miaka 25 anaweza kupata mume bora wa kuishi naye ila kama haishi kwa ndoto ya kupata mwanamume mwenye maisha yake tayari, wenyewe wanasema wa funguo 3 (funguo ya gari, nyumba na ofisi) Hizi ndoto ndo huwa zinawachelewesha hawa dada zetu