Jamii tusiwasakame wanawake ambao hawajaolewa na wako single

Hawa wananawake ambao hawaja olewa wana kesha sana kwenye nyumba za ibada wanafunga na kutoa sadaka mafungu makubwa makubwa kwa manabii huku wakiomba wapate mume ila tukiwa salimia njiani , kuwasimamisha na kuwatongoza wanatukataa na kutujibu hovyo sana, hawajui kabisa kua waume wanao waomba huko ndio sisi sisi tunao wachokoza chokoza njiani na mitaani ... Sasa shauri yenu lazima tuwaseme sana ili wanawake ambao hawajaolewa wajijue wao ni aibu kwenye jamii...

Nb: mimi na tafuta mke ila nikikutana na mwanamke ambae hajaolewa na nime muelewa ananikataa kabisa tena kwa ujasiri na sababu za msingi hana, naona hana akili kabisa tena ni mjinga sana.. Huwezi kataa mwanaume ewe mwanamke alafu unaomba upewe mume , tunakusubiria 30+ ili utusumbue tukuchezee
 
Tatizo wanakuwaga na MDOMO
 
Tatizo wanakuwaga na MDOMO sana kabla hayajawakuta😂😂😂
Kwa hiyo tunachokifanya ni kutimiza ule msemo "malipo duniani",wao huleta mdomo kabla ya tukio sisi huleta mdomo baada ya tukio
 
Kwaio una mpango wa kumuoa au ulitishia nyau??

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mtu kama riziki yake ipo ipo tu ..Jambo la kuolewa kila mtu ataolewa mda sahihi kabisa.
 
We mwenyewe unatumia jiba bandia, kinachoandikwa jamiforum ni wewe mwenyewe either ukichukue au ukiache hujalazimishwa ndo maana ikaitwa forum kila mtu anatoa maoni yake ilimradi ajatukana mtu

Ukiona uzi unakuuzi basi umekugusa
Usidandie treni kwa mbele mkuu.wakati mwingine kama hujui muendelezo wa comment basi ujitahidi kufuatilia kwanza mkuu..si ndio ee🤛🤛🤛
 
Umeongee ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…