Jamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu anavyozongwa na askari waliojificha nyuso zao kama vile wamemzunguka gaidi wakati Lisu ni mtetezi wa haki ambaye anataka Tanzania iwe na uchaguzi wa haki.
Wamemsifu Rais Samia kuwa amefanya makubwa kwenye ujenzi wa miundombinu, lakini kwa bahati mbaya sasa amebadilika na na kuungana na baadhi ya watawala wengine madictator katika Afrika, na kwamba amegeuka kuwa dictator hatari kushinda madictator wote waAfrika Mashariki.
Ni fedheha kubwa sana kwa sasa uongozi wa kidictator, udhulumaji haki, na mauaji ya wanaotetea uhuru na haki, ndiyo imekuwa sifa kubwa ya Tanzania.
Habari kamili, fungua links hizi:
cF_grvo"][URL unfurl="true" media="youtube:YB7
cF_grvo"]
View: https://youtu.be/YB7-cF_grvo?[/URL][/URL]