Dkt Samia hahusiki kabisa. Yeye remote tuJamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu anavyozongwa na askari waliojificha nyuso zao kama vile wamemzunguka gaidi wakati Lisu ni mtetezi wa haki ambaye anataka Tanzania iwe na uchaguzi wa haki.
Wamemsifu Rais Samia kuwa amefanya makubwa kwenye ujenzi wa miundombinu, lakini kwa bahati mbaya sasa amebadilika na na kuungana na baadhi ya watawala wengine madictator katika Afrika.
Ni fedheha kubwa sana kwa sasa uongozi wa kidictator, udhulumaji haki, na mauaji ya wanaotetea uhuru na haki, ndiyo imekuwa sifa kubwa ya Tanzania.
Habari kamili, fungua links hizi:
View: https://youtu.be/YB7-cF_grvo?
ajiuzuruDkt Samia hahusiki kabisa. Yeye remote tu
TISS hawahusiki sema kuna kikundi cha yule mjeshi msemaji wa jeshi aliongea siku ile kuwa kuna viongozi wakubwa walikuwa wanaenda kwenye majeshi na kuagiza watu wao waingizwe jeshini na matokeo yake jeshi limejikuta ni la mtu mmoja (hapa soga), hivyo tayari maana yake alishajipanga huko tiss kuna kikundi chake, polisi wapo pia (ona waumini wa Gwajiboy), so hapa hii ni vita ngumu sana kujikwamua kama taifa maana wanaua hatari sana ukiwapinga tu. Sijui nani atashinda je ni tiss wale wakweli au???? Maana inaonekana hata mchonga aka the faza wa national hili hili kundi lilipita naye kisa kuzuia asigombee ile miaka ile wakamuua hahaha jamaa hatariGenge la kikwete,Samia,rostam,TISS
Dkt Samia hahusiki kabisa. Yeye remote tu
MakubwaInasikitisha?
..ndie yeye alianzisha chuo kiko kunduchi..sijui national defence college ni km kuwa-bribe jeshi kuwa na bajeti ya kitu hakina impact kabisa kwa maendeleo ya nchi..! kwa hiyo ni kweli huko jeshin kajaza watu wake na tiss..TISS hawahusiki sema kuna kikundi cha yule mjeshi msemaji wa jeshi aliongea siku ile kuwa kuna viongozi wakubwa walikuwa wanaenda kwenye majeshi na kuagiza watu wao waingizwe jeshini na matokeo yake jeshi limejikuta ni la mtu mmoja (hapa soga), hivyo tayari maana yake alishajipanga huko tiss kuna kikundi chake, polisi wapo pia (ona waumini wa Gwajiboy), so hapa hii ni vita ngumu sana kujikwamua kama taifa maana wanaua hatari sana ukiwapinga tu. Sijui nani atashinda je ni tiss wale wakweli au???? Maana inaonekana hata mchonga aka the faza wa national hili hili kundi lilipita naye kisa kuzuia asigombee ile miaka ile wakamuua hahaha jamaa hatari
Huyo msemaji maana yake kifo kinamhusu, hivi bado hajafa? Ni kama yule mjeshi mwenyeji wa kahama alikufa kifo cha ajabu mno na baada ya hapo ikulu ikafumuliwa kupandikiza watu wake standby ili akizingua mu s apigwe chini. Unajua inasikitisha sana. Ila kwa jinsi ilivyo ukombozi utakuja toka kwa wananchi inavyoonekana. Tatizo sijui hii amani itadumu kiasa gani..ndie yeye alianzisha chuo kiko kunduchi..sijui national defence college ni km kuwa-bribe jeshi kuwa na bajeti ya kitu hakina impact kabisa kwa maendeleo ya nchi..! kwa hiyo ni kweli huko jeshin kajaza watu wake na tiss..
Na watashangaa zaidi watakapomuona anakula kitanzi laivu!!Mungu Wabariki Wazungu
what is the price to pay for ttraetd like thaiDkt Samia hahusiki kabisa. Yeye remote tu
Samia=chura kiziwi ajitafakari kwa haya yanayoendelea nchini, ni aibu sana!Jamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu anavyozongwa na askari waliojificha nyuso zao kama vile wamemzunguka gaidi wakati Lisu ni mtetezi wa haki ambaye anataka Tanzania iwe na uchaguzi wa haki.
Wamemsifu Rais Samia kuwa amefanya makubwa kwenye ujenzi wa miundombinu, lakini kwa bahati mbaya sasa amebadilika na na kuungana na baadhi ya watawala wengine madictator katika Afrika, na kwamba amegeuka kuwa dictator hatari kushinda madictator wote waAfrika Mashariki.
Ni fedheha kubwa sana kwa sasa uongozi wa kidictator, udhulumaji haki, na mauaji ya wanaotetea uhuru na haki, ndiyo imekuwa sifa kubwa ya Tanzania.
Habari kamili, fungua links hizi:
cF_grvo"][URL unfurl="true" media="youtube:YB7
cF_grvo"]
View: https://youtu.be/YB7-cF_grvo?[/URL][/URL]