Wewe ulishangaa kusikia kwamba panya ni chakula huku Tanzania, inaonyesha ni kwa kiasi gani hata nchi yako huielewi, stupid.
Wana protein nyingi piaNasikia panya (a.k.a chamaki nchanga) watamu sana...
Mimi ni mmijikenda, hao si panya wale wa nyumbani, hao ni panya buku wale wa mstuni, wanaitwa mathali, nikiwa mdogo nyumbani kwetu kulikuja cousins ambao tulikua tukienda kuwatafuta na kuweka mitego kwa mashimo yao huko mistuni, hio ndo ilikua ni sport yao, alafu tukiwashika wanachomwa na kuliwa na sima, mandugu zangu walikua wananikanya, wananiambia niwasaidie kushika lakini wakati wa kula nisile, lakini kuna siku flani nilionja nyama na ilikua tamu sana, mwanzo ukisha mchoma alafu unamueka ndani ya kiluma (maji + chumvi + pilipili) heheee mboga tosha!!!!!October 2 , 2018
Kaloleni Kilifi county, Kenya
Katika baadhi ya Jamii ya Mijikenda hili si geni ila kilichokigeni sasa ni kuwa kando nakuwa panya alikuwa kitoweo cha wazee, vijana pia wamechangamkia ulaji wa panya. Sababu zao wakisema kuwa ni mnyama mwenye utamu wa samaki na kuku wakiwa wameshikana. Nyama hii ya panya buku kwa kizazi chetu cha dotcom huenda kutowesha pilau na hata sima tofauti na zamani ambapo wazee wa Miji Kenda kilikwenda zaidi wakiteremshia na pombe yao maarufu ya tembo mnazi. Tobias chanji anaripoti akiwa kaloleni kaunti ya kilifi alipoandaliwa mlo huu mruwa.
Source: KTN News Kenya
Typical Kenyan, jambo likifanyika nje ya Kenya huwa halifai, ila likifanywa Kenya mtaweka kila aina ya defensive mechanism ili kulifanya lionekane ni sawa:Mimi ni mmijikenda, hao si panya wale wa nyumbani, hao ni panya buku wale wa mstuni, wanaitwa mathali, nikiwa mdogo nyumbani kwetu kulikuja cousins ambao tulikua tukienda kuwatafuta na kuweka mitego kwa mashimo yao huko mistuni, hio ndo ilikua ni sport yao, alafu tukiwashika wanachomwa na kuliwa na sima, mandugu zangu walikua wananikanya, wananiambia niwasaidie kushika lakini wakati wa kula nisile, lakini kuna siku flani nilionja nyama na ilikua tamu sana, mwanzo ukisha mchoma alafu unamueka ndani ya kiluma (maji + chumvi + pilipili) heheee mboga tosha!!!!!
Kumbe ni panya hawa! waje na maguni huku Handeni.[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 885518
Hayo unayoongelea ni irrelevant na hii topic, hakuna defence yoyote hapo imetolewa, hayo niliyoyaandika hapo juu ni pride ya mila za kitamaduni.. kama wewe uko na issue na watu kula panya buku hayo ni yako!Typical Kenyan, jambo likifanyika nje ya Kenya huwa halifai, ila likifanywa Kenya mtaweka kila aina ya defensive mechanism ili kulifanya lionekane ni sawa:
1)Tanzania ilipokataa EPA, Kenya mkasema lengo ni kuhujumu Kenya
2)Kenya ilipotishwa na USA na kujitoa katika mkata wa EAC wa kupiga marufuku nguo za mitumba ilifanya hivyo kwa kulinda soko lake, ila Tanzania ilipokataa EPA kwa sababu hiyohiyo ya kulinda viwanda vyake hamtaki, ubinafsi wenu ndio unawafanya mkatengwa na majira wenu.
Habari hii ya kula panya iliwekwa hapa miezi sita iliyopita, wenzako walikebehi sana watanzania kula panya, huku kwetu makabila ya kusini ni utamaduni wao kula panya, ila wakenya wengi walisema sio utamaduni ila ni njaa, wakipngozwa na mwaswat.Hayo unayoongelea ni irrelevant na hii topic, hakuna defence yoyote hapo imetolewa, hayo niliyoyaandika hapo juu ni pride ya mila za kitamaduni.. kama wewe uko na issue na watu kula panya buku hayo ni yako!
Ha ha ha... iwepo na supu ya panya, mtu anakunywa kama starter kabla ya msosi wenyewe...πππInafaa wapikwe mahotelini pia, iwe kama tunavyokula Pweza na Chaza.
Ha ha ha... iwepo na supu ya panya, mtu anakunywa kama starter kabla ya msosi wenyewe...πππ
That was different. Hawa watanzania walikuwa wakila panya (na wengine viwavi jeshi), not out of choice, km eti ni chakula chao cha kimila; bali ilikuwa ni kutokana na ukosefu wa mlo.Habari hii ya kula panya iliwekwa hapa miezi sita iliyopita, wenzako walikebehi sana watanzania kula panya, huku kwetu makabila ya kusini ni utamaduni wao kula panya, ila wakenya wengi walisema sio utamaduni ila ni njaa, wakipngozwa na mwaswat.
Ha! Would u really try these? Catch me dead!Hii itachangia ulaji wa hao panya kwenye mazingira safi na yafaayo, unaona hata ndugu zenu naona wanachangamkia sana huo mlo huku Watanzania waonywa dhidi ya tabia ya uwindaji na ulaji wa panya - JamiiForums
Ha! Would u really try these? Catch me dead!
Duh! I even shudder at the thot...