Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.
A
Hao si waislam, ni kikundi kidogo cha wahuni tu ambao wamejikusanya na kufanya huu upuuzi hapo,,
Kwani uislamu unasemaji juu ya mashoga,?
MFANYAJI NA MFANYWAJI WOTE WAPIGWE MAWE HADI KUFA, sasa kama ndio ipo hivyo hao wahuni wanatoka wapi na wanatumia kigezo gani,,,
Hata kwa picha tu unaona kabisa kuwa ni uongo huo unatengenezwa na kupewa nguvu na media
Afande Rama wa Zanzibar ni Muislam au siyo Muislam? Tusianzie mbali sana.
 
Hao si waislam, ni kikundi kidogo cha wahuni tu ambao wamejikusanya na kufanya huu upuuzi hapo,,
Kwani uislamu unasemaji juu ya mashoga,?
MFANYAJI NA MFANYWAJI WOTE WAPIGWE MAWE HADI KUFA, sasa kama ndio ipo hivyo hao wahuni wanatoka wapi na wanatumia kigezo gani,,,
Hata kwa picha tu unaona kabisa kuwa ni uongo huo unatengenezwa na kupewa nguvu na media
Nilazima watumie mbinu nyingi kuuchafua uislamu wanaimami watashinda na mbinu zao ama propaganda za kijinga ila mungu hashindwi atawadhalilisha tu
 
Sio Waislam ni watu wa Dini gani? Huyo mmoja amekiri kabisa ingawa ni Muislam lakini anapenda Usawa

Yeye akubali kuwa ni Muislam, wewe ukatae...are you serious???
Issue sio yeye kua muislm. Issue ni Uislam unasemaje kuhusu ushoga, uislam hautafsiriwi ni waislam bali uislam unajieleza wenyewe, ko hata umuone shekhe ni shoga bas ni yeye na wala uislam umesupport, mbona maandiko yapo wazi, sa shida nn
 
Sio Waislam ni watu wa Dini gani? Huyo mmoja amekiri kabisa ingawa ni Muislam lakini anapenda Usawa

Yeye akubali kuwa ni Muislam, wewe ukatae...are you serious???
Sheria ya uislam unaijua kuhusu liwatwi mjomba au unajisemea tu,,quran imetoa maelezo ya kila kitu kuhusu adhabu ya kulawitiana ,,sasa akivunja sheria muislam mmoja ndio dini imetaka hivyo ??tumia akili acha kutumia makalio kufikiria hao vijana wapo uingereza na waekubali kuchafua imani kwa njaa zao na sio kila anaejiita hussein au ali ni muislam wengne ni wahuni tu...
Aisee kumbe jamii forum ina vilaza wa namna hii kweli
 
Acha kupotosha, wao wamesema ni waislamu na wanataka kufirwa wewe unabisha nini? Kwani yule afande rama si mwislamu na anafirwa?
Mzee, mbona kama una ubongo wa kenge!? Unaelewa ninachokizungumza lakini??

Hata kama wao wamesema waislam wamekuambia kuwa hicho wanachokifanya wanafuata dalili flani au maamrisho flani kutoka kwenye uislam?

Uislam sio kama dini zingine mkuu huongozwa na mwongozo kwahiyo Kila jambo linalofanywa lazima watu turudi kwenye muongoz kuona kama umeongozwa kwenye Hilo jambo.

Sasa wewe unataja majina na matendo yao wao kama akina nani katika uislam?

Wewe kaa utafute makosa ya uislam ili ulinganishe na upande mwingine ujipe moyo.
 
Sio Waislam ni watu wa Dini gani? Huyo mmoja amekiri kabisa ingawa ni Muislam lakini anapenda Usawa

Yeye akubali kuwa ni Muislam, wewe ukatae...are you serious???
Muislamu ni Nani kwa Mujibu wa Uislamu ?
 
Muhuni wakwanza ni Allah maana ndiye aliyemfundisha Muhammad ufala wote.
Allah ni kiarabu tu ila maana yake ni mwenyezi mungu ambaye ni mmoja tu kwa dini zote na walimwengu wote. Usimtukane muumba wako na usidharau dini ya mwenzako.
 
Takbir!
1731648308806.jpg
 
Wao wamejitambulisha kuwa ni waislamu.

Hata hapa Zanzibar wamekuja vijana wakristo kutoka Tanganyika wakavaa kiislamu na kuijifanya eti waislamu wa Zanzibar wameiingia ukristo tena wakaimba na kwaya pale ngome kongwe kudanganya ulimwengu. Hizo mbinu zimepitwa na wakati
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom