Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Hizi mambo ya jinsia moja tutakuja kuwazidi wazungu huku wao wakishaenda level nyingine
 
Afadhaki waislamu kidogo
Hakuna mwenye afadhali ukipewa ufahamu wewe mshukuru Mungu wako!

Mkristo akiwa brain washed anajidhuru mwenyewe (kama hivi kufunga hadi kufa au kutapanya hela kwa fake priest) lakini hao wengine wakiondolewa akili wanakuja kukudhuru hata wewe usiyejua A wala B za dini yao.
 
Akimaanisha wewe ndie shetani mwenyewe 😂
Tena huyo mchungaji tapeli alifurahi kweli maana hao pimbi wakiona hawapati magari wataamini maneno yake kwamba siku ile kuna shetani alikuwa ameingia humo kwenye banda lao akabatilisha maombi yao.
 
Hukawahi kutana nayo hiyo wee mama D,mke bora,mwanamke aliyetulia,anayejielewa [emoji1]
Nmekusindikiza na sifa

Ova

Hapana kwa kweli
Hii mpya😆😆😆😆
 
Longtime niliepelekagwa kwa mama rwakatare,kipengele hicho cha kutaka gari sasa ,mnakaa mkao wa kushika usukukani na kukanyaga break
Huku mnaombewa [emoji1]

Ova

Hatari😅😅😅😅😅
 
Tena huyo mchungaji tapeli alifurahi kweli maana hao pimbi wakiona hawapati magari wataamini maneno yake kwamba siku ile kuna shetani alikuwa ameingia humo kwenye banda lao akabatilisha maombi yao.
Wakati wao wakifanyiwa maombi wapate magari,waamuni wanaambiwa wamchangie nabii,mchungaji pesa anunue gari
Haha [emoji1] na waaumini wanachanga kweli
Hii nliiona morogoro waamini wanamchangia hela mchungaji wao awe nangari,mchungaji anakuambia anataka xtrail [emoji1] gari kidogo iko juu
Au vanguard Haha

Ova
 
Nishakutana nayo kwa mamarwakatare mm
Kyna kama unataka safari ya kw3nda ulaya pia,unakaa mkao wa boeing kurukaaa [emoji1] ipo nayo
Kakobe naye ana mambo yake pia

Ova

Hukucheka katikati ya zoezi?
 
Me naona ni kukosa maarifa tu....
Pepo anatolewa kwa mtu, ila siyo UPUMBAVU.

Me natamani sana nizame zangu KKKT ila sijui nianzie wapi????
Nenda Kanisa lililo karibu na ulipo wapo watakaokuelekeza.

Hata tufanyeje lazima tuutafute uso wa Mungu but inakuwa hatari sana kudondokea kwenye mikono ya hawa wahuni,nina jamaa yangu tukipiga wote winga zamani miaka ya 2006 mtu wa Mbeya ila miaka hii mitatu nyuma uchumi wake umetetereka ila toka feb nashangaa kila siku ana-post yupo mitaani kama anahubiri kumuuliza jamaa yetu mwengine ananiambia soon jamaa nae atafungua banda lake apige hela za wajinga
 
Hatari[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na mm aliyenipeleka kwa mamarwakatare enzi hizo alikuwa baharia mmoja,mhuni tu anaitwa D.mwakisambo akatuqmbia tumeanzisha kanisa,watu tukastuka
Hyu hyu mwakisambo leo hii kaijua dini vp haha [emoji1] maana mafile yake tunayo
Yote kwa yote haya makanisa ni utapeli tu yamejaaa uwongo mtupu
Na kabla ya maombi yao wanafanya sana reheso za kuwapanga vilema, machizi ,sjui kufufua watu
Wanacheza na akili za watu

Ova
 
Hukucheka katikati ya zoezi?
Tisa 10,kuna hyu mgoa naye kuna siku watu wanangaliaa kwenye TV sjui kilema kapona
Kucheki kilema hyo wanaosema kapona ni mtu nayemjuwa na siku 2
Nlikuwa naye,eti jamaa anaenda na wheelchair anasimama anasema nmepona natembea [emoji1]
Wkt siku 2 kabla nlikuwa naye
Hii ni mipango tu,wanacheza na akili za watu ambao ni wajinga na mazuzu tu
Unajua haya makanisa,manabii wachungaji wanachofanya kwqnza wanakujaza hofu atakuambia mambo mengi,sjui nliota utakufa blahblah
We hyo ikikuingia basi
Ndomana siku ya kwqnza ukienda kwenye hay makanisa,nyie wageni mnaambiwa mkae sehemu moja
Huko sasa watakuja watu wanacheza na akili zenu,kabla ya kuanza kupigwa

Ova
 
Ukishaamini Mungu tu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, umeshaamini muujiza.

Na unakuwa ushaingia katika matatizo uliyoyataja.
 
Umenikumbusha mama lwakatale na miujiza yake ya upepo wa kisurisuri.

Makanisa yanayojiita ya kiroho Yana mambo ya hovyo sana,ndiyo maana kagame aliyapiga marufuku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…