Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa



πŸ˜€πŸ˜€ dah hao watu wanadharau sana yani upeleke salary slip wakupangie hahaha
 
Ujinga mwingi
 

Na wanazaliana kwa wingi mno.
 
Longtime niliepelekagwa kwa mama rwakatare,kipengele hicho cha kutaka gari sasa ,mnakaa mkao wa kushika usukukani na kukanyaga break
Huku mnaombewa [emoji1]

Ova
Kipengele ninachopenda mimi ilikuwa ni kile cha ndoa.. Ile imagination mko kitandani[emoji23]
 
Hapo ul
Hapo ulienda kwa wazee wa shakahola a.k.a kwa mchungaji Mackenzie,kilichobakia ilikuwa uambiwe ufunge hadi kufa ili uende Mbinguni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umenikumbusha mama lwakatale na miujiza yake ya upepo wa kisurisuri.

Makanisa yanayojiita ya kiroho Yana mambo ya hovyo sana,ndiyo maana kagame aliyapiga marufuku.
Mama Lwakatare ndio hovyo kabisa alikuwa anawaombea Wanawake wapate Wachumba waolewe wakati yeye mwenyewe ndoa na Mume wake ilishindikana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Wee jamaa, ndiyo umezuilia watu wasipate ndinga zao.
πŸ™‚ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…