Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Ni upumbavu tuu na kukosa akiliNi huzuni sana, sijui wanatafuta baraka gani hizo za kuchapwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upumbavu tuu na kukosa akiliNi huzuni sana, sijui wanatafuta baraka gani hizo za kuchapwa
Viongozi wengi wa Makanisa wametumia Shida na misongo ya mawazo ya Waumini wao kama mtaji wa biashara zao.
Kuna Kanisa niliiacha kuabudu baada ya kuombwa Nipeleke SalarySlip yangu ili wanipangia Sadaka ya Fungu la 10, yaani Kodi ya Serikali nilipe na Wale wahuni wapige hela zangu kama tunasaidiana kuzitafuta.
Nimeamua zile asilimia 10 walizokuwa wanazitaka kwa nguvu nawasaidia wenye Uhitaji na Masikini wenzangu huku mtaani.
Ujinga mwingiMimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.
Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.
Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.
Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.
Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?
Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.
Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.
Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.
Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.
Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.
Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Kwa sisi wahenga kuna usemi wa zamani kwamba hata ukishinda unayaua majinga kamwe hayatakaa yaishe kwakuwa ndio hali halisi hiyo , kimsingi hayo mapumbafu yaendelee kupigwa tu na mwishowe yafe na njaa kama yale ya kenya ila majamaa yaendelee kuendesha vogue na familia zao. MIAFRIKA MIJINGA SANA.
Kipengele ninachopenda mimi ilikuwa ni kile cha ndoa.. Ile imagination mko kitandani[emoji23]Longtime niliepelekagwa kwa mama rwakatare,kipengele hicho cha kutaka gari sasa ,mnakaa mkao wa kushika usukukani na kukanyaga break
Huku mnaombewa [emoji1]
Ova
Aliyetuletea dini katuletea jiniUjinga mwingiView attachment 2602615
Hapo ulienda kwa wazee wa shakahola a.k.a kwa mchungaji Mackenzie,kilichobakia ilikuwa uambiwe ufunge hadi kufa ili uende Mbinguni 😂😂😂Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.
Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.
Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.
Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.
Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?
Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.
Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.
Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.
Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.
Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.
Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Mama Lwakatare ndio hovyo kabisa alikuwa anawaombea Wanawake wapate Wachumba waolewe wakati yeye mwenyewe ndoa na Mume wake ilishindikana 😂😂😂😂Umenikumbusha mama lwakatale na miujiza yake ya upepo wa kisurisuri.
Makanisa yanayojiita ya kiroho Yana mambo ya hovyo sana,ndiyo maana kagame aliyapiga marufuku.
Sijakuuliza hilo.... Ila nazidi kuamini wanasema Nyumani (tena KWa kidume) Kukigeuka kiambaza cha vidume wengine Wahuni kujibamiza.. hiyo ni zahma kubwa....Wanao piga kampeni ya ushoga ni makanisa hasa loma
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.
Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.
Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.
Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.
Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?
Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.
Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.
Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.
Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.
Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.
Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Ha ha ha [emoji23]. Sio poaHili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.[emoji23]
View attachment 2602028
Ndio watu wa imani wanavokuwaga, hapo uongo wake uko sehem salamaTena huyo mchungaji tapeli alifurahi kweli maana hao pimbi wakiona hawapati magari wataamini maneno yake kwamba siku ile kuna shetani alikuwa ameingia humo kwenye banda lao akabatilisha maombi yao.
Umesha ona wapi magari yanapatikana kwa maigizo na kuwekewa mkono?Wee jamaa, ndiyo umezuilia watu wasipate ndinga zao.
🙂 😀😀😛🙂
Wakakuona huna roho, na una mapepo wachafuNa watu kama hao huwaambii kitu juu ya upotofu kama huo, Wanaweza kukupiga mawe ukiwasema vibaya na kiongozi wao Duh hizi ni siku za mwisho kweli
Zee Korofi sana wewePale wanawake wanapofundishwa kutafuta watoto
[emoji16][emoji1544][emoji1550]Zee Korofi sana wewe