The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Umesema jambo la muhimu sana,uchawi na ushirikina nao ndio wale wale tu,Wenzetu waishaachana na huu ujinga kitambo sana. Hawa manabii, mitume nk walikuwa ni watu wa kudhibitiwa, wanatumia ukosefu wa elimu na umasikini wa jamii yetu kuiangamiza kabisa.
Umewasahau imani za kishirikina, uchawi na waganga wa kienyeji wote hao ni kundi moja.
Cha ajabu eti yule anayeeneza propaganda za kichawi na kishirikina humu JF eti nae anayasema hayo makanisa!
😀😀😀😀