Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Neno waafrka toa au ongeza waafrka wakrisito kwenye mada yako waisilamu hauwezi ukakuta wanafanya mambo ya kijingajinga
 
Niliwahi kuwaona waislamu wakiuana kwa kugombea kumpiga shetani mawe! Nilistaajabu sana! Na shetani mwenyewe alikuwa kalala pembeni anacheka hadi anainua miguu juu!
 
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.

Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.

Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.

Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?

Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.

Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.

Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.

Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.

Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.

Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Umefanya vyema tu ujaafanya ukinga ule ,unajuwa ndugu mleta mada kua. Maombi ya Aina mbili Mona ya sadaka na nyingine Ni maombezi tu Wala Hakuna ubishi

Tusali Sana kwa kuegemea angle fln siyo una tatizo la cancer unaenda kuomba gari au vitu vingine vinafikirisha
 
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.

Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.

Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.

Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?

Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.

Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.

Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.

Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.

Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.

Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Mimi nikiwa kiongozi mkuu wa nchi, nitatoa order yavunjwe makanisa na misikiti yote nchini na tuanze upya kuamini katika kazi na jitihada.

Wakoloni walileta dini ili kurahisisha shughuli zao za kuitawala na kuiba raslimali za Afrika. Na wizi huo wachungaji wanautumia sana kwa waumini wao. Kinachofanyika na kanisa la mwamposa hakina tofauti na kanisa katoliki na misikiti.

Dini inapumbaza sana na ina mchango mkubwa sana kuendeleza umaskini wa Afrika. Mtu anaamini akifanya maombi atapata gari na nyumba bila kufanya kazi.

Ujinga wa dini inabidi ufe tuanze upya kama waafrika.
 
Unampelekaje mwanao kusoma Sudan? Anasomea nini special? Akigeuka gaining, huyo si ni hasara kwa dunia?

Huwa najiuliza ni lini serikali itapiga marufuku huu upuuzi. Au mpaka yatufike kama ya Kule Kilifi, Kenya? Then it will be too late. Mbona hao wahubiri wakitaka magari hayashuki from nowhere bali wanataka michango ya wafuasi wao??
 
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.

Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.

Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.

Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?

Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.

Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.

Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.

Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.

Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.

Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Kichwa cha habari kitaje wakristo weusi.
 
Back
Top Bottom